Imagine ukute jamaa anafuga mbwa wanakojolea io zulia(shiting on people's duas). Definitely jamaa anajua mengi sana kuhusu hao jamaa hawezi kuwadhihaki kirahisi ivyo. ...Noma sana kwa kweli. Hadi wabakaji na walawiti wanajiapatia Kiswa kiulaini kabisa. Waweke basi Amazon tuwe tunanunua tutumie kama zulia home🤣🤣
Haujaeleza vzuri, hicho kitambaa kiliuzwa kihalali kwa mnada au kiliibwa na kusafirishwa kwenda kuuzwa kwa Epstein kimagendo?Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
Ilikuwa biashara halali. Kiswa haitoki Saudia bila mamlaka za Saudia kujua. Inaonekana waliridhia Epistein auziwe kipende kidogo.Haujaeleza vzuri, hicho kitambaa kiliuzwa kihalali kwa mnada au kiliibwa na kusafirishwa kwenda kuuzwa kwa Epstein kimagendo?
Cha ajabu nini!?..yale ni mapazia,yametumika,yametolewa,bwana Epstein kayataka labda akalogee,wahuni wametumia fursaWewe nyangwisi gallow bird njoo hapa
Unamjua huyo Jeffrey Epstein vizuri? Kamsome kwanzaCha ajabu nini!?..yale ni mapazia,yametumika,yametolewa,bwana Epstein kayataka labda akalogee,wahuni wametumia fursa
Uliishi nae jirani au unamsoma tu kama mimi!?Unamjua huyo Jeffrey Epstein vizuri? Kamsome kwanza
MossadSema kama hizi mambo zote za huyu bwana zina ukweli basi niseme hii dunia wapo ******* wachache wanaprogram maisha yetu jinsi yawe.Huyu mpumbavu aliweza vipi kuwashika watu wote akili hivyo?
Epstein aliwadharau sana Kiswa kaenda kufanya zulia la bafuni kwake🤣🤣🤣Cha ajabu nini!?..yale ni mapazia,yametumika,yametolewa,bwana Epstein kayataka labda akalogee,wahuni wametumia fursa
Au kwa vile Epstein alikuwa ni fisi maji?Ilikuwa biashara halali. Kiswa haitoki Saudia bila mamlaka za Saudia kujua. Inaonekana waliridhia Epistein auziwe kipende kidogo.
Bi Aziza ambaye yeye mwenyewe ni Msaudia anayeishi UAE ana connection na mamlaka za Saudia ndiyo maana aliweza kufanikisha hiyo deal
Hata hivyo inashangaza jinsi anavyodhihaki kitambaa na dua wa Waislam wanaoenda Makkah