Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
.
Kipi cha kushangaza hapo ?Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
Ume mtag na vagina pia?Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
Anadhihaki kwakuwa anajua kinacho fanyika pale ni utapeli hakuna tofauti na wanacho fanya kina mwamposaIlikuwa biashara halali. Kiswa haitoki Saudia bila mamlaka za Saudia kujua. Inaonekana waliridhia Epistein auziwe kipende kidogo.
Bi Aziza ambaye yeye mwenyewe ni Msaudia anayeishi UAE ana connection na mamlaka za Saudia ndiyo maana aliweza kufanikisha hiyo deal
Hata hivyo inashangaza jinsi anavyodhihaki kitambaa na dua wa Waislam wanaoenda Makkah
Mzee naweza kupata Baadhi ya mafile ya Siri zake ,!?Duh dini ni utapeli unashikwa akili yako kiboya sana
huyu jamaa akujiua km wanavyosema bali walimuua ana siri nyingi
cha ajabu siri zake zinavuja akiwa mfu.
Mkuu dunia iko hivyo tungu mwanzo.ni wachache mnooo mnooo. Ndio wanaamua dunia ifanye niniiSema kama hizi mambo zote za huyu bwana zina ukweli basi niseme hii dunia wapo ******* wachache wanaprogram maisha yetu jinsi yawe.Huyu mpumbavu aliweza vipi kuwashika watu wote akili hivyo?
Asee hatari sana yani kuna watu wanapanga nini kifanyike na maisha yawe vipi wengine tunabaki kupuyanga tu.Tunatembea na mdundoMkuu dunia iko hivyo tungu mwanzo.ni wachache mnooo mnooo. Ndio wanaamua dunia ifanye ninii
FakeKiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
Hahahahahaaaaa kobaz mwandamiziCha ajabu nini!?..yale ni mapazia,yametumika,yametolewa,bwana Epstein kayataka labda akalogee,wahuni wametumia fursa
Sema ISSA usimng'ang'anie Mungu wetu.Kipi cha kushangaza hapo ?
Hii ni habari kubwa kwa wasiokuwa na akili , mtu akinya Vatican , Vatican inageuka Buza ?
Mbwa akikojolea bahari bahari inapoteza utukufu wake ?
Mtu akimtukana Yesu (Amani iwe juu yake ) Yesu anapoteza utukufu wake ?
Duh ! ukituliza akili yako vizuri hata akili pia inakataa Mungu kudhalilishwa na Wanadamu kupigwa makofi , na kutundikwa msalabani . Imagine Mungu yupo mdogo anachambushwa na Mama yake , kuogeshwa na kumuamkia . SubhanaLlah !Sema ISSA usimng'ang'anie Mungu wetu.
JESUS FIRST JESUS FOREVER
JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT!
Kwa hiyo kila ukiswali shetani anakupulizia matakoni? 🤣😂😅Duh ! ukituliza akili yako vizuri hata akili pia inakataa Mungu kudhalilishwa na Wanadamu kupigwa makofi , na kutundikwa msalabani . Imagine Mungu yupo mdogo anachambushwa na Mama yake , kuogeshwa na kumuamkia . SubhanaLlah !
Bila Uislamu ningekuwa Scumbabag na kuishi maisha ya hovyo sana Alhamdulillah Uislamu umenisadia sana.
Wagalatia Uislamu mnachukua mitandaoni kwa wenye chuki sio ajabu mmemezeshwa upuuzi na kushadadia .Kwa hiyo kila ukiswali shetani anakupulizia matakoni? 🤣😂😅
Kiliibwq kinagendo jamaa aliamini kuwa sara za waja zingemnasua kwenye mingo zakeHaujaeleza vzuri, hicho kitambaa kiliuzwa kihalali kwa mnada au kiliibwa na kusafirishwa kwenda kuuzwa kwa Epstein kimagendo?