Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

Adamu alijisalimisha kwa Mwenyezi Mungu, hakuswali zile swala tano za kila siku zenye rakat maalum kama Mtume Muhammad.
Huu hapa ni ufafanuzi wa jinsi Adam alivyoabudu:
1. Asili ya “Uislamu” wa Adamu (Kujisalimisha)
Kushikamana na Tauhidi: Adam alikuwa Mwislamu kwa maana pana ya neno hili—mtu anayesalimu amri kwa Mungu peke yake (Tawhiyd). Alimjua Mungu na kumwabudu moja kwa moja bila washirika.
Mwongozo wa moja kwa moja: Kama nabii wa kwanza, Adamu alipokea wahyi na maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
2. Jinsi Adam Alivyoomba (Tofauti na Muhammad)
Hakuna Swala Tano za Kila Siku: Swala mahususi ya mara 5 kwa siku (Swala) yenye mwendo sahihi, wa kina, usomaji wa Surah Al-Fatihah, na muundo maalum ulianzishwa wakati wa Safari ya Usiku (Mi'raj) ya Mtume Muhammad.
Aina za Ibada: Ibada ya Adam ililenga katika kumtakasa Mwenyezi Mungu, kumuomba, na kufuata maamrisho ya moja kwa moja, mahususi aliyopewa, kama vile kuuepuka mti, kutubia pale alipokosea, na kuwafundisha watoto wake wa muabudu Mungu mmoja tu.

Uislam ni kuamini Mungu ni mmoja tu tofauti na Ukristo wanamini Mungu baba na mungu mwana na Roho mtakatifu.
Rubbish. Manabii ya kiislamu ni maswahaba kina Bilal. Acheni kung'aninia manabii wa kiyahudi.

Hamna hata aibu na misijdah yenu mikubwa kama chapati kwenye paji zenu nyeusi eti mkitamani na kuota mkifa kwenye uislam mtabadila na kuwa miarabu.
 
Ndio mungu wenu mmoja kwani nani kakataa na kubisha? Kuna kaaba ngapi si ni moja mnaliabudu na kulisujudia. Komaeni na lidini lenu huko.

Screenshot_20260203_185417_Chrome.jpg
Screenshot_20260203_185255_Chrome.jpg
 
Rubbish. Manabii ya kiislamu ni maswahaba kina Bilal. Acheni kung'aninia manabii wa kiyahudi.

Hamna hata aibu na misijdah yenu mikubwa kama chapati kwenye paji zenu nyeusi eti mkitamani na kuota mkifa kwenye uislam mtabadila na kuwa miarabu.
Adamu alikuwa si Myahudi hahaha wewe unajua Wayahudi wametokea wapi? Kwanza Wayahudi wametokea katika watoto 12 wa Yakobo hivi akilini mwako unadhani hakuzaa watoto Warabu, au Makabila mengine kenge mmoja wewe. Yakobo hakuwa Myahudi nipe dalili wapi Yakobo alikuwa dini yake Myahudi kama unayo. Mnarukia train hamjui hata mnaenda wapi
 
Adamu alikuwa Myahudi hahaha wewe unajua wametokea wapi? Kwanza Wayahudi wametokea katika watoto 12 wa Yakobo hivi akili yako Yako hakuzaa watoto Warabu, au Makabila mengine kenge mmoja wewe. Yakobo hakuwa Myahudi nipe dalili wapi Yakobo alikuwa dini yake Myahudi kama unayo. Mnarukia train hamjui hata mnaenda wapi
Mngemfaham isingekuwa wayahudi. Hovyo kabisa nyie watu. Komaeni na lidini lenu huko la kucopy na kupaste na minabii yenu maswahaba kina Bilal. Aibu mudi alishindwa hata kucopy kutahiriwa akafa govi.
 
Mngemfaham isingekuwa wayahudi. Hovyo kabisa nyie watu. Komaeni na lidini lenu huko la kucopy na kupaste na minabii yenu maswahaba kina Bilal. Aibu mudi alishindwa hata kucopy kutahiriwa akafa govi.
Kenge wewe nyie mnabudu sanamu hakuna dini aliye leta Yesu inaitwa ukristo. Wayahudi wenyewe mnao wasifia eti Mitume wametoka kwao nani katika Wayahudi alifata mafunzo ya Mussa huyo ndio alie kuwa Mtume mwenye asili ya wale walii fata dini ya Kiyahudi na Yesu lakini wao hawakuwa dini zao Wayahudi. Ishaq wala Yakobo hawakuwa wanaitwa watoto wa Israel. Kenge mmoja wewe. Yesu walitaka kumpigilia msalabani na Mussa walimgeuka bada ya kuwaokoa kwa Firauni wakakufuru na Yesu walimpinga badaye wakalaniwa na Mungu.
Mungu alisha wachallenge Wayahudi walidai Ibrahim ni Myahudi akawambia watoe dalili zao kama Ibrahim ni Myahudi. Kwanza nini Uyahudi hujui hata mana ya Uyahudi ni dini wala sio Taifa.
 
Kenge wewe nyie mnabudu sanamu hakuna dini aliye leta Yesu inaitwa ukristo. Wayahudi wenyewe mnao wasifia eti Mitume wametoka kwao nani katika Wayahudi alifata mafunzo ya Mussa huyo ndio alie kuwa Mtume mwenye asili ya Kiyahudi na Yesu. Ishaq wala Yakobo hawakuwa wanaitwa watoto wa Israel. Kenge mmoja wewe. Yesu walitaka kupigilia msalabani na Mussa walimgeuka bada ya kuwaokoa kwa Firauni wakakufuru na Yesu walimpinga badaye wakalaniwa na Mungu.
Masangay nyie.

FB_IMG_1771020142786.jpg

ELI COHEN Beira Boy Mjusi Sharobalo MK254
 
Asee hatari sana yani kuna watu wanapanga nini kifanyike na maisha yawe vipi wengine tunabaki kupuyanga tu.Tunatembea na mdundo

Kuna jamaa huwa yupo humu kitambo sana huwa anaeleza story zake za uongo na kweli.Mwanzoni nilikuwa nazipinga sema baada ya kuachia files za huyu bwege nimeanza kubadili mtazamo juu ya watu na ulimwengu
Mathanzua the conspiracy theorist.

Kuna namna huyu Epstein alitumika na wadau wa N.W.O.

Yoda
 
Huoni kama unajichanganya????????
Nijichanganya vipi Uislam ni kuamini Mungu ni mmoja tu, Mitume wote waliamini vile mpaa Yesu aliwambia Mungu ni mmoja tu. Nyie ndio mlileta ujinga wa 1=3

Hivi nyie huwa mnaelewa au hamuelewi alivyo kuwa aki sali Adam si alivyo kuwa akisali Yakobo na Yakobo au Ibrahim walivyo wakisali sio alivyo kuwa akisali Mtume Muhammad.

Lakini hao Mitume wote walikuwa wakiwambia wafuasi Mungu ni mmoja na walikuwa wakiwahimiza watu wao wasimamishe salaa.

Nyie ndio mnajichangan'ya hamjui tofouti kati ya Yahudi na Israel ambaye ni Yakobo.l na taifa lilo undwa na Muingereza likaitwa Usrael.
 
Mathanzua the conspiracy theorist.

Kuna namna huyu Epstein alitumika na wadau wa N.W.O.

Yoda
Proved ukiniita conspiracy theorist unanikosea heshima,kwanza uniombe msamaha.Infact ungejua ungenishukuru Kwa kukupa ukweli wa ndani ambao kwa umbumbumbu ulionao unauita conspiracy.Kwanza unajua walioanzisha hiyo concept ya conspiracy theory.Ni CIA katika harakati zao za ku-waterdown ukweli unaokuwa exposed kuhusu wao wenyewe au handlers wao.Wake up,umelala usingizi wa pono.These are late hours,bado uumelala tu,very sad.

The term gained traction surrounding major events, including the 1881 Garfield shooting and later, the 1960 JFK assassination, where it was used to discredit alternative narratives.
 
Conspiracy theory is real.

Hata Trump ni muumini wa hizo 'nadharia njama'.
 
Back
Top Bottom