Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

Wagalatia Uislamu mnachukua mitandaoni kwa wenye chuki sio ajabu mmemezeshwa upuuzi na kushadadia .

Anyway propaganda za Wagalatia zilinipa machungu ya kusoma Uislamu kwa dhati ili niijue exactly na niVerify doubts wanazoleta watu mitandaoni na nikaa darasani kufuatilia kwenye vitabu and others authentic sources nikazidi kukupenda Uislamu wangu.

Mwanzo nilikuwa Muislamu mpuuzi wa kuswali tu nimemaliza basi , Jf imenipa hamasa ya kusoma na kujisomea kuhusu Uislamu na kujiridhisha ni dini ya haki .
Kwanini wapuuzi wenzenu mnawadanganya kuwa ukiikanyaga quran unakuwa chizi na mambo mengine. Mbona huyu jamaa kaiweka getoni kwake na kalia visamvu kibao
 
Kwanini wapuuzi wenzenu mnawadanganya kuwa ukiikanyaga quran unakuwa chizi na mambo mengine. Mbona huyu jamaa kaiweka getoni kwake na kalia visamvu kibao
Ndio maana nasema Wagalatia hawana akili Wala hawezi kutumia akili ndogo waliokua nayo.

Je , neno la mtu ndio linakuwa sheria katika Uislamu ? Uislamu sio u Galatia Padri anaweza kujitungia chochote hata ibada ijawekwa katika dini . Uislamu umefungwa hakuna nafasi ya kutunga kitu lazima urudi kwenye marejeo yake.

Sasa nionyeshe Aya ya Qur'an au Hadith inayodai kuwa mtu akikanyaga Qur'an anakuwa chizi .

Hiyo aliyoieeka huko ndani ni Qu'ran au shuka ?
 
Duh ! ukituliza akili yako vizuri hata akili pia inakataa Mungu kudhalilishwa na Wanadamu kupigwa makofi , na kutundikwa msalabani . Imagine Mungu yupo mdogo anachambushwa na Mama yake , kuogeshwa na kumuamkia . SubhanaLlah !

Bila Uislamu ningekuwa Scumbabag na kuishi maisha ya hovyo sana Alhamdulillah Uislamu umenisadia sana.
Kwa kuabudu jiwe jeusi ! jeffrey amewadhalilisha sana
 
Uislamu umefungwa hakuna nafasi ya kutunga kitu lazima urudi kwenye marejeo yake.
Marejeo yenyewe ndiyo haya kuwa mtu akipiga miayo inatoka kwa shetani?
Nyie mnaoamini hiyo dini hamna akili ndiyo maana makafiri ndiyo wenye akili kuliko nyie wakamua ngama
20260129_154855.jpg
 
Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.

Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao

Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC

Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji

Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri

Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?

View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
inabadilishwa ili kuondoa Kiswah kuukuu, iliyochakaa, na iliyochafuliwa, na badala yake na kuweka safi ili kuheshimu Kaaba.

Sa huo ni mtumba tu na yale maneno ya liopo pale yatakuwa yamefutwa wacha atuonyeshe dalili kaweka hicho kitamba na mandishi yake kama carpet. Wacheni uzushi wakijinga.
 
anaweza kujitungia chochote hata ibada ijawekwa katika dini
Naomba ushahidi kutoka kwenye Quran tukufu plus na hadithi kwenye hizi hoja.

1) Adam alitoa shahada.

2) Adam alisali swala tano.

3) Adam alitoa zaka

4)Adam alifunga Ramadhan.

5) Adam alifanya Hija Makka.

Nb: Toa ushahidi kamili kupitia Quran tukufu coz wewe mwenyewe unajua ni kwa kiasi gani hadithi zilivyochakachualiwa! Ukipata sahihi itapendeza kidogo.
 
Wagalatia Uislamu mnachukua mitandaoni kwa wenye chuki sio ajabu mmemezeshwa upuuzi na kushadadia .

Anyway propaganda za Wagalatia zilinipa machungu ya kusoma Uislamu kwa dhati ili niijue exactly na niVerify doubts wanazoleta watu mitandaoni na nikaa darasani kufuatilia kwenye vitabu and others authentic sources nikazidi kukupenda Uislamu wangu.

Mwanzo nilikuwa Muislamu mpuuzi wa kuswali tu nimemaliza basi , Jf imenipa hamasa ya kusoma na kujisomea kuhusu Uislamu na kujiridhisha ni dini ya haki .
20260130_074836.jpg
 
Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.

Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao

Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC

Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji

Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri

Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?

View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef

Unajua kuandika vitu ambayo huna elimu navyo ni hatari sana!!! Yesu alisha tuonya kuwa "watu wangu watakuja kuangamia kwa kukosa maarifa"
Hivi mtu akiomba jalada lililojaladia Biblia ya Mwamposa au pengine jalada la Biblia ya Mwakasege akiamini kuwa lina upako akapewa, hiyo imeadhiri nini Biblia ?
Vile vitambaa kwenye Kaaba ni decoration tu kama jalada/cover la Biblia
Sasa hata sijui kwa nini WAPOTOSHAJI wanafanya kama BIG deal??
 
Unajua kuandika vitu ambayo huna elimu navyo ni hatari sana!!! Yesu alisha tuonya kuwa "watu wangu watakuja kuangamia kwa kukosa maarifa"
Hivi mtu akiomba jalada alilojaladia mtume Mwamposa Biblia yake au pengine jalada la Biblia ya Mwakasege akiamini kuwa lina upako akapewa, hiyo imeadhiri Biblia?
Vile vitambaa kwenye Kaaba ni decoration tu kama jalada/cover la Biblia
Sasa hata sijui kwa nini wapotoshaji wanafanya kama BIG deal??
MImi nimeripoti tu kama ilivyoripotiwa. Sijaongeza neno lolote
 
Huu nao ni uzushi wa Makafiri
Kwa ulinzi uliopo pale wa usiku na mchana tangu enzi haiwekekani yatokee hayo asilani abadan
 
Naomba ushahidi kutoka kwenye Quran tukufu plus na hadithi kwenye hizi hoja.

1) Adam alitoa shahada.

2) Adam alisali swala tano.

3) Adam alitoa zaka

4)Adam alifunga Ramadhan.

5) Adam alifanya Hija Makka.

Nb: Toa ushahidi kamili kupitia Quran tukufu coz wewe mwenyewe unajua ni kwa kiasi gani hadithi zilivyochakachualiwa! Ukipata sahihi itapendeza kidogo.
Salaa tano zilianza pale Mtume Muhammad alipo toko Al-Isra' wal-Miraj (Safari ya Usiku na Kupaa) ni muujiza mkubwa katika Uislamu, unaotokea tarehe 27 Rajab, ambapo Mtume Muhammad alisafiri kutoka Makkah kwenda Al Quds (Jerusalem) akapanda mbinguni, na akajaliwa kuswali swala tano za kila siku
Full stop.

Adam na wengine kila mmoja alikuwa na nidhamu zake kwa wakati wake.
 
Asee hatari sana yani kuna watu wanapanga nini kifanyike na maisha yawe vipi wengine tunabaki kupuyanga tu.Tunatembea na mdundo

Kuna jamaa huwa yupo humu kitambo sana huwa anaeleza story zake za uongo na kweli.Mwanzoni nilikuwa nazipinga sema baada ya kuachia files za huyu bwege nimeanza kubadili mtazamo juu ya watu na ulimwengu
Watch the godfather utaelewa zaidi
 
Ukitumia ushahidi kutoka kwenye Quran, unaweza kuelezea jinsi Adam alivyosali??

Ukitumia Quran unaweza kuelezea hizo nidhamu za akina Adam na wenzake??
Adamu alijisalimisha kwa Mwenyezi Mungu, hakuswali zile swala tano za kila siku zenye rakat maalum kama Mtume Muhammad.
Huu hapa ni ufafanuzi wa jinsi Adam alivyoabudu:
1. Asili ya “Uislamu” wa Adamu (Kujisalimisha)
Kushikamana na Tauhidi: Adam alikuwa Mwislamu kwa maana pana ya neno hili—mtu anayesalimu amri kwa Mungu peke yake (Tawhiyd). Alimjua Mungu na kumwabudu moja kwa moja bila washirika.
Mwongozo wa moja kwa moja: Kama nabii wa kwanza, Adamu alipokea wahyi na maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
2. Jinsi Adam Alivyoomba (Tofauti na Muhammad)
Hakuna Swala Tano za Kila Siku: Swala mahususi ya mara 5 kwa siku (Swala) yenye mwendo sahihi, wa kina, usomaji wa Surah Al-Fatihah, na muundo maalum ulianzishwa wakati wa Safari ya Usiku (Mi'raj) ya Mtume Muhammad.
Aina za Ibada: Ibada ya Adam ililenga katika kumtakasa Mwenyezi Mungu, kumuomba, na kufuata maamrisho ya moja kwa moja, mahususi aliyopewa, kama vile kuuepuka mti, kutubia pale alipokosea, na kuwafundisha watoto wake wa muabudu Mungu mmoja tu.

Uislam ni kuamini Mungu ni mmoja tu tofauti na Ukristo wanamini Mungu baba na mungu mwana na Roho mtakatifu.
 
Back
Top Bottom