Vipande vya kitambaa cha Kaaba (Kiswa) vilinunuliwa na Jeffrey Epstein kama zulia (carpets) kwa matumizi ya nyumbani.

Kipi cha kushangaza hapo ?

Hii ni habari kubwa kwa wasiokuwa na akili , mtu akinya Vatican , Vatican inageuka Buza ?

Mbwa akikojolea bahari bahari inapoteza utukufu wake ?

Mtu akimtukana Yesu (Amani iwe juu yake ) Yesu anapoteza utukufu wake ?
 
Ume mtag na vagina pia?
 
Anadhihaki kwakuwa anajua kinacho fanyika pale ni utapeli hakuna tofauti na wanacho fanya kina mwamposa
 
Mkuu dunia iko hivyo tungu mwanzo.ni wachache mnooo mnooo. Ndio wanaamua dunia ifanye ninii
Asee hatari sana yani kuna watu wanapanga nini kifanyike na maisha yawe vipi wengine tunabaki kupuyanga tu.Tunatembea na mdundo

Kuna jamaa huwa yupo humu kitambo sana huwa anaeleza story zake za uongo na kweli.Mwanzoni nilikuwa nazipinga sema baada ya kuachia files za huyu bwege nimeanza kubadili mtazamo juu ya watu na ulimwengu
 
Fake
 
 
Kipi cha kushangaza hapo ?

Hii ni habari kubwa kwa wasiokuwa na akili , mtu akinya Vatican , Vatican inageuka Buza ?

Mbwa akikojolea bahari bahari inapoteza utukufu wake ?

Mtu akimtukana Yesu (Amani iwe juu yake ) Yesu anapoteza utukufu wake ?
Sema ISSA usimng'ang'anie Mungu wetu.
JESUS FIRST JESUS FOREVER

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT!
 
Sema ISSA usimng'ang'anie Mungu wetu.
JESUS FIRST JESUS FOREVER

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT!
Duh ! ukituliza akili yako vizuri hata akili pia inakataa Mungu kudhalilishwa na Wanadamu kupigwa makofi , na kutundikwa msalabani . Imagine Mungu yupo mdogo anachambushwa na Mama yake , kuogeshwa na kumuamkia . SubhanaLlah !

Bila Uislamu ningekuwa Scumbabag na kuishi maisha ya hovyo sana Alhamdulillah Uislamu umenisadia sana.
 
Kwa hiyo kila ukiswali shetani anakupulizia matakoni? πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…
 
Kwa hiyo kila ukiswali shetani anakupulizia matakoni? πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…
Wagalatia Uislamu mnachukua mitandaoni kwa wenye chuki sio ajabu mmemezeshwa upuuzi na kushadadia .

Anyway propaganda za Wagalatia zilinipa machungu ya kusoma Uislamu kwa dhati ili niijue exactly na niVerify doubts wanazoleta watu mitandaoni na nikaa darasani kufuatilia kwenye vitabu and others authentic sources nikazidi kukupenda Uislamu wangu.

Mwanzo nilikuwa Muislamu mpuuzi wa kuswali tu nimemaliza basi , Jf imenipa hamasa ya kusoma na kujisomea kuhusu Uislamu na kujiridhisha ni dini ya haki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…