alumelunda
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 838
- 1,032
Kwanini wapuuzi wenzenu mnawadanganya kuwa ukiikanyaga quran unakuwa chizi na mambo mengine. Mbona huyu jamaa kaiweka getoni kwake na kalia visamvu kibaoWagalatia Uislamu mnachukua mitandaoni kwa wenye chuki sio ajabu mmemezeshwa upuuzi na kushadadia .
Anyway propaganda za Wagalatia zilinipa machungu ya kusoma Uislamu kwa dhati ili niijue exactly na niVerify doubts wanazoleta watu mitandaoni na nikaa darasani kufuatilia kwenye vitabu and others authentic sources nikazidi kukupenda Uislamu wangu.
Mwanzo nilikuwa Muislamu mpuuzi wa kuswali tu nimemaliza basi , Jf imenipa hamasa ya kusoma na kujisomea kuhusu Uislamu na kujiridhisha ni dini ya haki .
'Kujitundika' hakukusababishwa na laana hiyo kweli!Kiliibwq kinagendo jamaa aliamini kuwa sara za waja zingemnasua kwenye mingo zake
USSR
Ndio maana nasema Wagalatia hawana akili Wala hawezi kutumia akili ndogo waliokua nayo.Kwanini wapuuzi wenzenu mnawadanganya kuwa ukiikanyaga quran unakuwa chizi na mambo mengine. Mbona huyu jamaa kaiweka getoni kwake na kalia visamvu kibao
Kwa kuabudu jiwe jeusi ! jeffrey amewadhalilisha sanaDuh ! ukituliza akili yako vizuri hata akili pia inakataa Mungu kudhalilishwa na Wanadamu kupigwa makofi , na kutundikwa msalabani . Imagine Mungu yupo mdogo anachambushwa na Mama yake , kuogeshwa na kumuamkia . SubhanaLlah !
Bila Uislamu ningekuwa Scumbabag na kuishi maisha ya hovyo sana Alhamdulillah Uislamu umenisadia sana.
Marejeo yenyewe ndiyo haya kuwa mtu akipiga miayo inatoka kwa shetani?Uislamu umefungwa hakuna nafasi ya kutunga kitu lazima urudi kwenye marejeo yake.
inabadilishwa ili kuondoa Kiswah kuukuu, iliyochakaa, na iliyochafuliwa, na badala yake na kuweka safi ili kuheshimu Kaaba.Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
Naomba ushahidi kutoka kwenye Quran tukufu plus na hadithi kwenye hizi hoja.anaweza kujitungia chochote hata ibada ijawekwa katika dini
Wagalatia Uislamu mnachukua mitandaoni kwa wenye chuki sio ajabu mmemezeshwa upuuzi na kushadadia .
Anyway propaganda za Wagalatia zilinipa machungu ya kusoma Uislamu kwa dhati ili niijue exactly na niVerify doubts wanazoleta watu mitandaoni na nikaa darasani kufuatilia kwenye vitabu and others authentic sources nikazidi kukupenda Uislamu wangu.
Mwanzo nilikuwa Muislamu mpuuzi wa kuswali tu nimemaliza basi , Jf imenipa hamasa ya kusoma na kujisomea kuhusu Uislamu na kujiridhisha ni dini ya haki .
Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
View attachment 3537945
View attachment 3537946View attachment 3537947
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef
MImi nimeripoti tu kama ilivyoripotiwa. Sijaongeza neno loloteUnajua kuandika vitu ambayo huna elimu navyo ni hatari sana!!! Yesu alisha tuonya kuwa "watu wangu watakuja kuangamia kwa kukosa maarifa"
Hivi mtu akiomba jalada alilojaladia mtume Mwamposa Biblia yake au pengine jalada la Biblia ya Mwakasege akiamini kuwa lina upako akapewa, hiyo imeadhiri Biblia?
Vile vitambaa kwenye Kaaba ni decoration tu kama jalada/cover la Biblia
Sasa hata sijui kwa nini wapotoshaji wanafanya kama BIG deal??
Salaa tano zilianza pale Mtume Muhammad alipo toko Al-Isra' wal-Miraj (Safari ya Usiku na Kupaa) ni muujiza mkubwa katika Uislamu, unaotokea tarehe 27 Rajab, ambapo Mtume Muhammad alisafiri kutoka Makkah kwenda Al Quds (Jerusalem) akapanda mbinguni, na akajaliwa kuswali swala tano za kila sikuNaomba ushahidi kutoka kwenye Quran tukufu plus na hadithi kwenye hizi hoja.
1) Adam alitoa shahada.
2) Adam alisali swala tano.
3) Adam alitoa zaka
4)Adam alifunga Ramadhan.
5) Adam alifanya Hija Makka.
Nb: Toa ushahidi kamili kupitia Quran tukufu coz wewe mwenyewe unajua ni kwa kiasi gani hadithi zilivyochakachualiwa! Ukipata sahihi itapendeza kidogo.
Ukitumia ushahidi kutoka kwenye Quran, unaweza kuelezea jinsi Adam alivyosali??Salaa tano zilianza pale Mtume Muhammad alipo toko Al-Isra' wal-Miraj
Ukitumia Quran unaweza kuelezea hizo nidhamu za akina Adam na wenzake??Adam na wengine kila mmoja alikuwa na nidhamu zake kwa wakati wake.
Watch the godfather utaelewa zaidiAsee hatari sana yani kuna watu wanapanga nini kifanyike na maisha yawe vipi wengine tunabaki kupuyanga tu.Tunatembea na mdundo
Kuna jamaa huwa yupo humu kitambo sana huwa anaeleza story zake za uongo na kweli.Mwanzoni nilikuwa nazipinga sema baada ya kuachia files za huyu bwege nimeanza kubadili mtazamo juu ya watu na ulimwengu
Daahh 😄😁Kwanini wapuuzi wenzenu mnawadanganya kuwa ukiikanyaga quran unakuwa chizi na mambo mengine. Mbona huyu jamaa kaiweka getoni kwake na kalia visamvu kibao
Adamu alijisalimisha kwa Mwenyezi Mungu, hakuswali zile swala tano za kila siku zenye rakat maalum kama Mtume Muhammad.Ukitumia ushahidi kutoka kwenye Quran, unaweza kuelezea jinsi Adam alivyosali??
Ukitumia Quran unaweza kuelezea hizo nidhamu za akina Adam na wenzake??