It is not real,you have been made to believe is realConspiracy theory is real.
Hata Trump ni muumini wa hizo 'nadharia njama'.
Mbona wanapiga chabo, wanachungulia nn Huko?Ndio mungu wenu mmoja kwani nani kakataa na kubisha? Kuna kaaba ngapi si ni moja mnaliabudu na kulisujudia. Komaeni na lidini lenu huko.
View attachment 3545353View attachment 3545354
Allah anaongea kiarabu kwa sababu mabikra walioko pepeoni hawatoshi ukilinganisha na idadi ya watu wote duniani, hivyo mwenye kujua kiarabu na mwislamu wa kweli ndiye atakayebahatika kizama peponi na kuwashughulikia mabikra alioahidiwa.Kobaz secretarybird una lipi la kusema kuhusu hii dini yetu ambayo Allah anaongea kiarabu tuu? π
Hapo sawa, mana mm n Kafiri Ila nataka nikale bikra siku Nikifa, kumbe kuna kipengele cha kujua kiarabu πAllah anaongea kiarabu kwa sababu mabikra walioko pepeoni hawatoshi ukilinganisha na idadi ya watu wote duniani, hivyo mwenye kujua kiarabu na mwislamu wa kweli ndiye atakayebahatika kizama peponi na kuwashughulikia mabikra alioahidiwa.
Nadhani nimekujibu vyema.
Siku Moja Moja uwe unamnunulia kitimoto huyo shekhe ili awe na moyo wa kukufundisha vizuri.Hapo sawa, mana mm n Kafiri Ila nataka nikale bikra siku Nikifa, kumbe kuna kipengele cha kujua kiarabu π
Ngoja nitafute shekhe mla nguruwe Ijumaa anifundishe kdg
Pesa usisahau alikua anamiliki kisiwa na kuishi kwenye mahekalu yapesa nyingiSema kama hizi mambo zote za huyu bwana zina ukweli basi niseme hii dunia wapo ******* wachache wanaprogram maisha yetu jinsi yawe.Huyu mpumbavu aliweza vipi kuwashika watu wote akili hivyo?
Do you believe in existence of NWO (One government one religion)..' ?It is not real,you have been made to believe is real