Vipato vyetu na matumizi ni maji na mafuta kiukweli kwa maisha haya Tanzania

Tuache kupambana kujenga uchumi wa Nchi yetu, Wote tukimbilie USA sio, Haujui kuna kizazi cha USA kilipigika ipasavyo ili kuijenga USA ya sasa.

Tutabanana hapa hapa mpaka kieleweke
Bahati mbaya Sana watu hawajengi uchumi wa nchi, wanajenga uchumi wa matumbo Yao 🤔
 
Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum.

Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu.

Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump.

Kazi anazofanya kama ingekuwa bongo mpaka unaingia kaburini utaweza kufanikisha malengo yako.

Jamaa ndani ya mwaka mmoja na nusu account inasoma milioni 200 sijui kwa sasa maana ni mda sasa.

Mfano mzuri angalia msanii Roma na leo watoto wake wanasoma shule zile zenye mkwanja ambao angesema yupo bongo kwa huu mziki hapana.

Sasa kwa vipato vyetu hapa bongo naona ni maji na mafuta yani leo ili kuishi maisha na wewe unenepe na kunawili kama nguruwe kwa siku inabidi elfu 50 kukatika.

Mfano wenye familia wapate milo mitatu kwa siku jambo la kukatika 25000 kwa siku na hapo na zungumzia bonga tu na chai huku umeemea sokoni vitu vya mwezi.

Leo kilo ya nyama ni elfu 12000 kumbuka hii kilo kuna lile dogo lake na mke wangu lenye maviatu
View attachment 3471030

Bado maitaji ya mke ndani vitu vidogo vidogo.

Ukisema na wewe upige chai nzuri hata kama ni maskini ili upate chai nzuri si zaidi ya 5000 kwa bongo hii.

Ujapata maji ya kunywa,chakula cha mchana na jioni bia mbili.

Bado unamchepuko naye anataka matunzo,bado vilio vya ndugu jamaa na marafiki maana hawa nawaita jina la ambulance mda wowote si unajua kila mtu anakwamwa hata mimi na kwama na mimi ni wale wale.

Kwa maisha haya nchi ya malawi ndio maana vidonda vya tumbo na magonjwa yasiyo ambukiza yanatuandama kwa vipato ambavyo matumizi yake hata ujikwepe vipi yata kuhusu sio kusema eti unaijua pesa.
Maisha ya bongo yanazidi kuwa magumu sana.

Wafugaji wamefeli. Nyama inauzwa bei kubwa kuliko Uturki na Brazili
 
We Dogo kazi yako kutukana tukana watu mtandaoni nlikua najiuliza unasumbuliwa na nini kumbe ni njaa imepanda kichwani
Unamuitaje Dogo wakati amesema ana familia kubwa 🤣👍
 
Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum.

Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu.

Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump.

Kazi anazofanya kama ingekuwa bongo mpaka unaingia kaburini utaweza kufanikisha malengo yako.

Jamaa ndani ya mwaka mmoja na nusu account inasoma milioni 200 sijui kwa sasa maana ni mda sasa.

Mfano mzuri angalia msanii Roma na leo watoto wake wanasoma shule zile zenye mkwanja ambao angesema yupo bongo kwa huu mziki hapana.

Sasa kwa vipato vyetu hapa bongo naona ni maji na mafuta yani leo ili kuishi maisha na wewe unenepe na kunawili kama nguruwe kwa siku inabidi elfu 50 kukatika.

Mfano wenye familia wapate milo mitatu kwa siku jambo la kukatika 25000 kwa siku na hapo na zungumzia bonga tu na chai huku umeemea sokoni vitu vya mwezi.

Leo kilo ya nyama ni elfu 12000 kumbuka hii kilo kuna lile dogo lake na mke wangu lenye maviatu
View attachment 3471030
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bado maitaji ya mke ndani vitu vidogo vidogo.

Ukisema na wewe upige chai nzuri hata kama ni maskini ili upate chai nzuri si zaidi ya 5000 kwa bongo hii.

Ujapata maji ya kunywa,chakula cha mchana na jioni bia mbili.

Bado unamchepuko naye anataka matunzo,bado vilio vya ndugu jamaa na marafiki maana hawa nawaita jina la ambulance mda wowote si unajua kila mtu anakwamwa hata mimi na kwama na mimi ni wale wale.

Kwa maisha haya nchi ya malawi ndio maana vidonda vya tumbo na magonjwa yasiyo ambukiza yanatuandama kwa vipato ambavyo matumizi yake hata ujikwepe vipi yata kuhusu sio kusema eti unaijua pesa.
Ila kwakwel bongo ni hatari
 
Wewe si upo mpiga madili??utamuacha Goddaughter ateseke??ada utalipa hata kwa masimango..

Umekumbuka kitabu Cha Adam Shafii " Twenzetu ulaya"??haha

Now na gugo tu habari za New Zealand
Auntie mimi na hii roho mbaya yangu 😅

Labda uwe unanipa hela zako nyingi nyingi mi ndo nakusaidia kumtunza 😅
 
Ila tuongee serious,umezaliwa Tanzania,umekulia Tanzania,umesoma Tanzania ukashindwa kufanikiwa,unafikiri ni rahisi kiasi gani kufanikiwa mahala ambapo lugha tofauti,tamaduni tofauti,Hali ya hewa tofauti??

Changamoto gani zimefanya kufeli mahala ambapo wajinga wengi,?how possible nchi za watu??
 
Nitaandika kwa lugha rahisi si ya kitaalamu since mimi si mchumi.

Mara nyingi twin watu wanaoondoka TZ hawatafuti mafanikio per tafsiri ya utajiri.

Bali inakuwa ni ngumu kwao kuafodi hata basic needs wakiwa kwa nchi yao, So mtu kama huyo akitaka kufanikisha hilo na kupata walau surplus itabidi atimkie nchi ambayo systematically kuna vitu ni haki ya kila mtu as far as anafanya kazi, Na kazi za kufanya zipo.

Statistically, watu wengi nchi zinazoendelea wanaishi chini ya mstari wa umaskini. Quality ya maisha ni mbovu, Usalama ni mdogo (japo kwa hili limeanza kuwa jambo mtambuka hata kwa ulimwengu wa pili) Sisi wa ulimwengu wa tatu ndio kabisa roho mkononi. Sawa nchi za ulimwengu wa pili usalama umepungua, je uwajibikaji na uwazi juu ya matishio ya usalama ukoje?

Hapa tunaacha nchi za ulimwengu wa kwanza. Ambapo rate ya hayo niliyoyamention hapo ni ndogo zaidi. NB: Marekani pamoja na ujayanti wake wote bado mimi naiweka kwenye nchi za ulimwengu wa pili, imeshapoteza sifa za kuwa katika ulimwengu wa kwanza.

A quick question, A nanny wa mambele tunamfananisha na Da shammy wa hapa kwangu? Ambaye akikusanya mshahara wake wa mwaka hawezi nunua hata tofali mia za kujengea. Ofcoz ntamlipa nini wakati mi mwenyewe nalipwa kima cha chini? Na je why shammy haachi kazi kwangu?
 
Nitaandika kwa lugha rahisi si ya kitaalamu since mimi si mchumi.

Mara nyingi twin watu wanaoondoka TZ hawatafuti mafanikio per tafsiri ya utajiri.

Bali inakuwa ni ngumu kwao kuafodi hata basic needs wakiwa kwa nchi yao, So mtu kama huyo akitaka kufanikisha hilo na kupata walau surplus itabidi atimkie nchi ambayo systematically kuna vitu ni haki ya kila mtu as far as anafanya kazi, Na kazi za kufanya zipo.

Statistically, watu wengi nchi zinazoendelea wanaishi chini ya mstari wa umaskini. Quality ya maisha ni mbovu, Usalama ni mdogo (japo kwa hili limeanza kuwa jambo mtambuka hata kwa ulimwengu wa pili) Sisi wa ulimwengu wa tatu ndio kabisa roho mkononi. Sawa nchi za ulimwengu wa pili usalama umepungua, je uwajibikaji na uwazi juu ya matishio ya usalama ukoje?

Hapa tunaacha nchi za ulimwengu wa kwanza. Ambapo rate ya hayo niliyoyamention hapo ni ndogo zaidi. NB: Marekani pamoja na ujayanti wake wote bado mimi naiweka kwenye nchi za ulimwengu wa pili, imeshapoteza sifa za kuwa katika ulimwengu wa kwanza.

A quick question, A nanny wa mambele tunamfananisha na Da shammy wa hapa kwangu?
Well written Twin,mfano jamaa yetu aliekua Korea,unafikiri angekua Tanzania kupitia taaluma yake ya computer science ukitoa uzembe wake na kila kitu,angebaki na kuajiriwa hapa,ange achieve aliyo achieve akiwa huko??
 
Na kwanini huku alikuwa anazembea kule hazembei? 🤣

Kumbe kuna muda unabidi utoke out of your comfort zone. Lakini kwa hapa Tz kuna watu wako nje ya comfort zone lakini mambo bado hayaeleweki, Huwezi niambia mtu anaamka saa 11 kuwahi kuwinga kariakoo halafu bado hakusomeki, Kumbe nini? Purchasing power manenos 😅 Kama hii inalega lega hata ufanye kazi kama siafu utapiga tu hatua tudogo dogo sana.

Our workforce is cooked!
 
So jibu ajira chache,rasilimali chache,bado wenye ajira mshaara haukidhi,watoto wa wanasiasa hawana kazi ila Wana hela,. solution kukimbilia ng'ambo,too bad Africa yote mifumo Ipo hivyo na kila kijana anafikiria kwenda mbele,.

Hofu yangu miaka kumi hii Wazungu wamekua so noisy kuhusu wahamiaji kutoka Africa,wamekua wengi kupitiliza,chuki yao sasa inapitiliza,masharti yanazidi kua magumu, racism imerudi kwa Kasi ya ajabu,, suluisho Nini kwa kijana kama mimi hoehae?
 
Hali za kiuchumi katika nchi nyingi za kiafrica ni Tete Sana kwa kweli
 
Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum.

Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu.

Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump.

Kazi anazofanya kama ingekuwa bongo mpaka unaingia kaburini utaweza kufanikisha malengo yako.

Jamaa ndani ya mwaka mmoja na nusu account inasoma milioni 200 sijui kwa sasa maana ni mda sasa.

Mfano mzuri angalia msanii Roma na leo watoto wake wanasoma shule zile zenye mkwanja ambao angesema yupo bongo kwa huu mziki hapana.

Sasa kwa vipato vyetu hapa bongo naona ni maji na mafuta yani leo ili kuishi maisha na wewe unenepe na kunawili kama nguruwe kwa siku inabidi elfu 50 kukatika.

Mfano wenye familia wapate milo mitatu kwa siku jambo la kukatika 25000 kwa siku na hapo na zungumzia bonga tu na chai huku umeemea sokoni vitu vya mwezi.

Leo kilo ya nyama ni elfu 12000 kumbuka hii kilo kuna lile dogo lake na mke wangu lenye maviatu
View attachment 3471030

Bado maitaji ya mke ndani vitu vidogo vidogo.

Ukisema na wewe upige chai nzuri hata kama ni maskini ili upate chai nzuri si zaidi ya 5000 kwa bongo hii.

Ujapata maji ya kunywa,chakula cha mchana na jioni bia mbili.

Bado unamchepuko naye anataka matunzo,bado vilio vya ndugu jamaa na marafiki maana hawa nawaita jina la ambulance mda wowote si unajua kila mtu anakwamwa hata mimi na kwama na mimi ni wale wale.

Kwa maisha haya nchi ya malawi ndio maana vidonda vya tumbo na magonjwa yasiyo ambukiza yanatuandama kwa vipato ambavyo matumizi yake hata ujikwepe vipi yata kuhusu sio kusema eti unaijua pesa.
Balaa sana sanaa 😊
 
Back
Top Bottom