Vipers kutoboa kwa Mazembe inaonesha hakuna lisilowezekana kwenye mpira

Al hilal mkimpiga wala lile golin la ugenin ulilonalo was was halitahusika , japo pia mkipata sare ya zaidi ya goli moja utafurahia na kusahau kuwa unataman sheria hiyo ifutwe
 
Wenzio wanacheza mpira mguuni sio mdomoni kama nyie
Kwamba Yanga inaongea sana au manjisahaulisha Simba mnavyoongeaga??? sema hii Nchi kujadili haya maswala ya Simba na Yanga Lazima ujitoe Akili.
Mtu haongei kwa Facts kama wewe unaleta kelele tu.
 
Sasa hivi mambo yamebadilika home advantage ipo kwa atmosphere tu ila waamuzi wapo fair
Waamuzi wapo fair? fair ipi unayoiongelea ww

Ya simba kutolewa msimu uliopita na pirates kwa goli la offside ambayo hata VAR refa alikataa kuitumia, fair?
 
Al hilal mkimpiga wala lile golin la ugenin ulilonalo was was halitahusika , japo pia mkipata sare ya zaidi ya goli moja utafurahia na kusahau kuwa unataman sheria hiyo ifutwe
Hilo goli sio kwa Yanga nalitaka mi silipendi toka zaman maana lina uonevu flan mfano Al Mereki kafuzu ila kapigwa 3-1 kisa eti alishinda kwake 2-0 huuuu ni upuuzi soka linakua halina Mvuto kisa huu ujinga Team inakua haisaki magoli inasaka kutokufungwa tu
 
Kwamba Yanga inaongea sana au manjisahaulisha Simba mnavyoongeaga??? sema hii Nchi kujadili haya maswala ya Simba na Yanga Lazima ujitoe Akili.
Mtu haongei kwa Facts kama wewe unaleta kelele tu.
Fact ya kwanza kila mtu ashinde kwake mengine ni majariwa tu ya ngamia kupita kwenye tundu la sindano, supporting evidence ya hili ni namna wasahabiki, viongozi na wachezaji wa yanga wanavyohaha kutetea sare ya 1-1 kwa mkapa

Fact ya pili ni yanga kuleta dharau kwa al hilal mechi ya kwanza eti wamepigwa nne na mazembe B, mara hawajawekeza kama yanga kwahyo tutawapiga kama ngoma, hii ilishusha umakini wa yanga kwenye pitch na kuamin kuwa al hilal no timu dhaifu ndio maana kocha akaamua kuingia bila natural CDM, supporting evidence ua hili na kipindi cha pili kilivyokuwa kigumu kwa yanga
 
Yanga ni kama mwenge tu haivuka mipaka ya nchi yetu

Ama kweli ni wazalendo kweikwei
 
Waamuzi wapo fair? fair ipi unayoiongelea ww

Ya simba kutolewa msimu uliopita na pirates kwa goli la offside ambayo hata VAR refa alikataa kuitumia, fair?
Unakumbuka goli la Simba ?
 
Ubaya wa iyo game ilikuwa ni ile suluhu pacha ya goalless.
 
Nakubaliana na wewe kbsa, good night
 
Nitajie ni timu gani yenye asili ya kiarabu iliyotolewa kwao?,tuanzie hapo bwana utopolo [emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…