Vipers kutoboa kwa Mazembe inaonesha hakuna lisilowezekana kwenye mpira

Mkuu uliangalia mechi Kati ya plateau United na Esperance de Tunis faulo nje ya box Ila likatengwa penalty baada ya kuwa dakika 80 hakuna goli kwa pande zote mwenyeji akatafutiwa Na ndo goli lililompeleka makundi hivyo lazima mjue hivyo
 
Tatizo umeweka mifano mingi ya UEFA champions league wakati Caf champions league ni tofauti waarabu wameiweka mfukoni caf angalia mfano ile fainali ya al ahly iliyoaghirishwa au mechi ya jana ya esparence waarabu ni kirusi kwa soka la Africa ndo maana wameshindwa kufuzu world cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…