Vipers SC Vs Horoya AC | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 18.02.2023

Ila Waganda Hawapendi mpira Halali Ligi ya Tanzania Iwe Juu. Uwanjani utasema kuna Lockdown Ya Corona
 
Eti vipers vibonde wakati mpaka sasa table inasoma Simba ndio kibonde
Sioni tumaini lolote Simba akiondoka na point ata moja
 
Simba mkubali mkatae vipers anakupiga nje ndani hutaamini
 
Hao wanaopiga kelele hapo ni wanafunzi wa st Mary's,,wasiwatishe hawana watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…