Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Hii ji kweli sisi naoba hatupo serious kabisa fikiria lorry lenye containers linachukua cku nzima kufika kibaha kutoka bandarini na Hakuna jitihada na makusudi je tupo serious?
 
Hii ji kweli sisi naoba hatupo serious kabisa fikiria lorry lenye containers linachukua cku nzima kufika kibaha kutoka bandarini na Hakuna jitihada na makusudi je tupo serious?
Una uhakika kweli na unachokiandika? Au na wewe ni mpiga debe wa Kagame kama Mahoro?
 
Rafiki upo dunia gani hata ukweli uliowazi huoni
 
Bila kujali madhara wala maumivi ni upuuzi kumsifia baba wa mwenzako uku wako akiwa hapohapo, na kufika hatua ya kuomba aje ahudumie familia yenu, what the hell are you posting,,,,,,,!!!!!!
 
Mwambie atoe ujinga wake hiyo bahari ataitoa wapi kama kashindwa kuzui ukabila mpaka leo haya mengine atayaweza.
 
Nyie wanyarwanda wajinga sana mtatamani sana mali zetu lakini hamtapata hata chembe wauwaji nyie mwambie babu yako kgame atukome kabisa.
 
Bila kujali madhara wala maumivi ni upuuzi kumsifia baba wa mwenzako uku wako akiwa hapohapo, na kufika hatua ya kuomba aje ahudumie familia yenu, what the hell are you posting,,,,,,,!!!!!!

Yaan unamkabidhi jirani yako familia yako na mke wako akulelee kisa ye anamafanikio !!jaman kuna watu mabwege mkuu!!!
 
Ujinga wa kagame na ndugu yake Mahoro,wanajua Mkoa wa Mbeya una watu wangapi?
 
Tatizo la Rais wako Kagame anadhani Tanzania ni kama kanchi kake ambapo kwa hapa Tanzania ni kama wilaya moja tu ya Temeke
Hivi wewe ulalagi au una kazi hata saa 9 usiku hupo uku au ndo mambo ya buku 7 ?
 
Yaan unamkabidhi jirani yako familia yako na mke wako akulelee kisa ye anamafanikio !!jaman kuna watu mabwege mkuu!!!

Yaani ni zaid ya ubwege, baada ya kukaa na kutafakar anakiri kuweka bond his family en call himself creative, ,,,,,,,,,!!!!!
 
Anaitamani tanzania mpeni pole ndiyo basi tena tanzania haiwezi kuongozwa na muuwaji kagame.
 
Ninacho amini Kagame ni dictetar lakini ni dictetar mzalendo huku kwetu viongozi bureeee kabisa
 
Hivi wewe ulalagi au una kazi hata saa 9 usiku hupo uku au ndo mambo ya buku 7 ?
Wakimbizi wanyarwanda mnakazi akili zenu zimeathirika na ubaguzi nyie siyo watu tena utu wenu ulishaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…