Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika kweli na unachokiandika? Au na wewe ni mpiga debe wa Kagame kama Mahoro?Hii ji kweli sisi naoba hatupo serious kabisa fikiria lorry lenye containers linachukua cku nzima kufika kibaha kutoka bandarini na Hakuna jitihada na makusudi je tupo serious?
Mkuu, Kagame anaitamani sana Tanzania. Ila ndo hivyo. Ngoma ni nzito kwakeAende huko hizo anaziba huko goma hazmtoshi....?
Nyie wanyarwanda wajinga sana mtatamani sana mali zetu lakini hamtapata hata chembe wauwaji nyie mwambie babu yako kgame atukome kabisa.... Wakuu, Huwa Natafakari Sana Hii Kauli Ya Kiongozi Makini Hapa Afrika, Ndugu Kagame. Aliwahi Kumwambia Mkuu Wetu Wa Kaya Kuwa Ukiacha Rasrimali Zote Ulizonazo Kama Madini, Maji Na Ardhi, Bandari Tu Ya Dar Es Saalam, Kama Rais Wa Tz Naweza Kuitumia Kwa Ajili Ya Kuwapa Huduma Bure Za Kijamii Wananchi Wangu Wote Bila Wasiwasi.. Cha Ajabu Tuna Rasrimali Nyingi Lakin Kila Kitu Cha Shida, Je Hii Ni Laana Au?? Huwa Nataman Sana Siku Moja Hata Kwa Mwaka Mmoja Kagame Awe Rais Wetu Lakn Ndo Hivyo Haiwezekan. Hata Hapa Kwetu Wapo Viongoz Wazur Kama Kagame Lakin Huwa Hawapati Nafasi.. Natafakari Sana Hiyo Kauli Nzito, Machozi Yananitoka. Yaani Bandari Tu?? Je Madini? Je, Ardhi Yetu Nzuri? Je, Gesi Yetu? Maji Yetu??
Bila kujali madhara wala maumivi ni upuuzi kumsifia baba wa mwenzako uku wako akiwa hapohapo, na kufika hatua ya kuomba aje ahudumie familia yenu, what the hell are you posting,,,,,,,!!!!!!
Hawezi kupata chochote kwetu aende huko kwa hao wakongo anaowaibia kila kukicha kwetu mwiko.Mkuu, Kagame anaitamani sana Tanzania. Ila ndo hivyo. Ngoma ni nzito kwake
Hivi wewe ulalagi au una kazi hata saa 9 usiku hupo uku au ndo mambo ya buku 7 ?Tatizo la Rais wako Kagame anadhani Tanzania ni kama kanchi kake ambapo kwa hapa Tanzania ni kama wilaya moja tu ya Temeke
Yaan unamkabidhi jirani yako familia yako na mke wako akulelee kisa ye anamafanikio !!jaman kuna watu mabwege mkuu!!!
Wakimbizi wanyarwanda mnakazi akili zenu zimeathirika na ubaguzi nyie siyo watu tena utu wenu ulishaisha.Hivi wewe ulalagi au una kazi hata saa 9 usiku hupo uku au ndo mambo ya buku 7 ?
Unamtetea mzee wako pole sana nenda kwake uwe unafulia nguo basi.Ninacho amini Kagame ni dictetar lakini ni dictetar mzalendo huku kwetu viongozi bureeee kabisa