kaka,, misaada inayopewa tanzania mingi kama sio yote ni mikopo,,, halafu mkuu unapozungumzia machinga wa kariakoo au muuza koni, hawa hawana input ya moja kwa moja kwa uchumi wa nchi, ila wapo kwa ajili ya kuendesha private life na familia zao ...... tunapozungumzia kufanya kazi tunazungumzia public factories, tunaongelea public construction firm kama tunazo,,, je serikali inafanya uzalishaji kiasi gani (sio kukusanya kodi). je tuna mgodi au gas/oil field ya kwetu natunazalisha kama wazawa???? mimi muuza nazi/madafu/supu ya pweza hapa natafuta hela ya kula mimi na familia yangu.. tuna wataalamu wangapi wa madini,gas, mafuta, viwanda, barabara,anga au wote ni wahasibu na wanasheria (makalani waliokuwawanatukuzwa na wakoloni) kama leo hii nchi ina wahasibu, wanasheria, procurement,politicians, linguistics, waandishi,administrator,masecretary, nk wengi kupita kiasi halafu maengineer, scientific, madokta, na wataalamu wa teknologia kwa ujumla wakuhesabu, wewe unafikili hii nchi itaendelea????
JE NANI ALAUMIWE??