Wote ambao mnaunga mkono hoja ya Kagame hamjajibu swali langu! J, nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? Why iwe kama ingekuwa ni bandari ya Dar es salaam na sio nyingine yoyote ile kama vile Mombasa, Beira, Durban and so on? Kama anasema bandari ya Dar ingekuwa nchini kwake basi angeweza kufanya hayo anayotamani kufanya, in other way round ni sawa na kusema anashindwa kufanya kwavile hana bandari! Ni lini Rwanda inatarajiwa kupata bandari ya dar es salaam ili aweze kutimiza ndoto zake? Hili ni muhimu kwavile inaonesha uwezo wake yeye utakuwa pale tu atakapopata bandari, tena ya Dar es salaam! Nisaidie kujibu!