Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Wandugu, siku zote mwenye kasoro hujitapa na kujikweza kwani akikaa kimya hatasikika wala kuknekana. Kauli hiyo na nyinginezo ni kujikweza tu mabega. Silence speaks louder! Tusirini mtasikia akisema, "tukigundu gesi na mafuta..." Watanzania tusonge mbele na ukubwa wa ncho yetu utadhihiri miaka si mingi.
 
Nilijua tu kwamba watapatikana watu wa mcheche wa haraka kama wewe . kwa kawaida mtazamaji wa mpira hujifanya mchezaji kwa hoja kulijo aliyeko uwanjani. Na watu husema mie ningemwoa mwanamke yule ningempenda zaidi. Mpende wako kwanza, kagame angekuwa kiongozi bora asingekuwa mkandamizaji wa wanyarwanda wenzie hat a kufikia kuwafanyia umafia ugaibuni. Kagame hajiamini, hihi niwaambie washabiki wake wajiandae na mabadiliko Paulo atakapong'atukuka mpaka yale mashamba yake watachukua na ahule ya mkewe watanyang'anya.

La saba wewe!
 
kwa lifestyle yetu , Kagame hatufai ,sie tumezoea short cut , sasa akija mtu wa type take kila mtu atamchukia.Utakuta libaba zima liko barabarani lina nunua cone ya Azam linaifungua halafu mfuko wake linautupa njiani.Ingekuwa Rwanda sijui wangemfanyaje mtu huyo.
 
Tunapiga faini ya Frw 50,000 sawa na shilingi laki moja ya kwenu. Haina mjadala.
 
Imagine kwa siku zingekusanywa laki ngapi?
 
Wapo humu ndani wanaosema uongozi uliopo ni bora sasa sioni sababu ya kulalamika wakuu kama vipi 2015 tuwaweke pembeni maana kama umeambia mguu wako umeoza kwa nn husiuondoe japokuwa inaumiza lkn hakuna jinsi ukate tu
 
... Hakuna Hoja Ya Kujibu, Kuna Uvundo Tu.!!
The answer is simple and clear... there's nothing special outta there! Ni mambo mawili tu ambayo namsifu Kagame... mosi, hata kama Rushwa bado ipo Rwanda lakini PK anaonesha dhahiri anaichukia rushwa... kwangu mimi, kumaliza rushwa ni jambo moja na kuichukia kwa dhati ni jambo lingine... Nyerere hapa anasifiwa sana lakini si kwamba serikali yake haikuwa na wala rushwa bali Nyerere aliichukia rushwa the same as PK. Kitu kingine alichofudhu PK ni kuondoa ukiritimba especially kwenye maeneo ya biashara... kwa haya mawili, kudos lakini mengine ni propaganda...
 
Wandugu, siku zote mwenye kasoro hujitapa na kujikweza kwani akikaa kimya hatasikika wala kuknekana. Kauli hiyo na nyinginezo ni kujikweza tu mabega. Silence speaks louder! Tusirini mtasikia akisema, "tukigundu gesi na mafuta..." Watanzania tusonge mbele na ukubwa wa ncho yetu utadhihiri miaka si mingi.
You're very right... na ndio maana nikasema bas hapo kuna tatizo ikiwa mtu anaota angefanya mazuri kama angekuwa Rais wa Tanzania... kisa, eti kuna bandari as if nchi zote zilizoendelea dunian zina bandari!!!
 
The answer is simple and clear... there's nothing special outta there! Ni mambo mawili tu ambayo namsifu Kagame... mosi, hata kama Rushwa bado ipo Rwanda lakini PK anaonesha dhahiri anaichukia rushwa... kwangu mimi, kumaliza rushwa ni jambo moja na kuichukia kwa dhati ni jambo lingine... Nyerere hapa anasifiwa sana lakini si kwamba serikali yake haikuwa na wala rushwa bali Nyerere aliichukia rushwa the same as PK. Kitu kingine alichofudhu PK ni kuondoa ukiritimba especially kwenye maeneo ya biashara... kwa haya mawili, kudos lakini mengine ni propaganda...

... Kwakweli Umeanza Kuelewa, Hayo Ni Machache Tu Kati Ya Mengi Aloyafanya. Kwa Taarifa Yako, Rwanda Ni Ya Kwanza Eas Afrika Kwa Kufanikisha Kutokomeza Rushwa
 
Paradox juu ya PK: anapata mialiko zaidi ya 500 kutoka jumuia za kimataifa kwenda kuwahutubia, nchi yake inatuhumiwa kupora rasilimali za DRC, nchi yake inasifika kwa kutokuwa na mzaha mzaha wa kuchezea sheria, ukisoma maoni juu yake kwenye account yake ya facebook, wafuasi wengi wanampenda. Lingine, haogopi kusema msimamo wa nchi yake mbele ya wale wanaoitwa wakubwa. Lakini linaloniacha hoi, tunamuona threat lakini wanyarwanda kibao tumewaajiri kwenye maeneo nyeti na wanampa feedback juu ya kila tufanyacho! Mimi naona tunyamaze tu.
 
.... Tatizo Sis Watanzania Tunakurupuka Mno, Kumbuka Bidhaa Nying Za Rwanda Zilikua Zinapitia Bandar Ya Dar, Aliona Uozo Mwing Ndan Ya Bandar Ndo Maana Alitoa Kauli Hiyo

pitisheni mizigo yenu kwa helikopta juu kwa juu nyinyi si mna maendeleo bwana!
 
Paradox juu ya PK: anapata mialiko zaidi ya 500 kutoka jumuia za kimataifa kwenda kuwahutubia, nchi yake inatuhumiwa kupora rasilimali za DRC, nchi yake inasifika kwa kutokuwa na mzaha mzaha wa kuchezea sheria, ukisoma maoni juu yake kwenye account yake ya facebook, wafuasi wengi wanampenda. Lingine, haogopi kusema msimamo wa nchi yake mbele ya wale wanaoitwa wakubwa. Lakini linaloniacha hoi, tunamuona threat lakini wanyarwanda kibao tumewaajiri kwenye maeneo nyeti na wanampa feedback juu ya kila tufanyacho! Mimi naona tunyamaze tu.

1. duh, ungejua! hiyo mialiko mingi anajialika mwenyewe kwa kutumia PR companies. Kagame kaajiri wanasiasa wastaafu kama Tony blair kama maconsultant kwa kazi hiyo tu ya kujisafisha kimataifa. Lakini pamoja na hayo UK na US walisimamisha misaada kwenda Rwanda kutokana na M23 mwaka jana, kwa hiyo unaweza kuona kuwa mialiko hiyo haina uhusiano na kukubalika.
2. Huko facebook na kwenye social networks zingine pia ni kazi ya usalama wa taifa wake ambao wana kitengo maalum cha propaganda kupitia mitandao. Angalia hapa ambapo kagame mwenyewe alishitukiwa kuwa anatumia akaunti feki kutukana marais wenzie, sasa kama rais mzima anafanya upuuzi huo imagine hao vibaraka wake. wenye access na internet rwanda ni asilimia ndogo sana, lakini kwenye social networks usishangae "wanyarwanda" wana akaunti nyingi kuzidi hata wasauzi! jawabu dogo ni kuwa hizo akaunti ni feki, zinaendeshwa na watu wachache tu ambao wako kazini.
Links hizi hapa:

Rwanda online arsenal na pia: Rwanda's Twitter-Gate: The Disinformation Campaign of Africa's Digital President – By Susan Thomson | African Arguments pia na hapa: @RichardGoldston kagame fake account . Kagame/Rwanda is a myth!

3. watu wenye asili ya rwanda sio tatizo sana, unless tuna ushahidi kuwa uzalendo wao uko Rwanda. Wapo watanzania ambao hawana uhusiano wowote na Rwanda ingawa wana asili ya huko, kama ambavyo tuna wahindi, waarabu etc.
 
... Kwakweli Umeanza Kuelewa, Hayo Ni Machache Tu Kati Ya Mengi Aloyafanya. Kwa Taarifa Yako, Rwanda Ni Ya Kwanza Eas Afrika Kwa Kufanikisha Kutokomeza Rushwa
Umesema ametatua matatizo ya Rwanda kwa 90%... Rwanda ina matatizo kila idara... from miundombinu, huduma za afya, huduma za elimu, umaskini na vigezo vingine vyote vya maendeleo kwa jamiii! Huwezi kusema hayo ni machache tu wakati tagu nianze kukuuliza, hujataja hata moja... Hayo niliyotaja hayawezi kuwa 90% ya matatizo ya Rwanda! Ukichukua povert indicators zote, none of them Rwanda is better off!

Anyway, busara ya kawaida inanishawishi kwamba natakiwa kukupuuza!
 
pitisheni mizigo yenu kwa helikopta juu kwa juu nyinyi si mna maendeleo bwana!
Tangu niingie kwenye huu mjadala nimekuwa nikiwahoji what's so specia in Rwanda... hakuna hata mmoja aliyetaja!! Huyo jamaa anayejiita MAHORO anadai PK ametatua 90% ya matatizo ya Rwanda, nimemuuliza ikiwa miundombinu ya Rwanda ipo 90% good condition, elimu 90% fine, afya 90% fine, upatikanaji wa ajira 90%, n.k, hajajibu mpaka sasa!!
 
Last edited by a moderator:
... Hakuna Hoja Ya Kujibu, Kuna Uvundo Tu.!!
You've nothing to support your arguments... that's it! Ni ujinga kujidanganya eti Rwanda kuna maendeleo wakati mwenyewe unafahamu kwamba wana-Rwanda wengi ni maskini ambao wanaishi chini ya $1.
 
Back
Top Bottom