Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Wote ambao mnaunga mkono hoja ya Kagame hamjajibu swali langu! J, nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? Why iwe kama ingekuwa ni bandari ya Dar es salaam na sio nyingine yoyote ile kama vile Mombasa, Beira, Durban and so on? Kama anasema bandari ya Dar ingekuwa nchini kwake basi angeweza kufanya hayo anayotamani kufanya, in other way round ni sawa na kusema anashindwa kufanya kwavile hana bandari! Ni lini Rwanda inatarajiwa kupata bandari ya dar es salaam ili aweze kutimiza ndoto zake? Hili ni muhimu kwavile inaonesha uwezo wake yeye utakuwa pale tu atakapopata bandari, tena ya Dar es salaam! Nisaidie kujibu!

... Wewe Ni Mpumbafu Na Hutaki Kueleweshwa, Hakusema Bandari Iende Rwanda, Alisema Yeye Angekuwa Rais Wa Tz Angeweza Kufanya Hayo Kwa Watz. Mbona We Mgumu Kuelewa??
 
Aende huko huko na udictator wake miaka take 7 inaisha aanze kutafuta kiwanja mkulanga. Tumezoea kuwahifadhi.
 
Aende huko huko na udictator wake miaka take 7 inaisha aanze kutafuta kiwanja mkulanga. Tumezoea kuwahifadhi.

... Kwahyo Hapo Ndo Umejibu Hoja? Unasoma Darasa La Ngapi, Inawezekana Siyo Kosa Lako.
 
Hii nchi wananchi wake ndio wapumbafu nikiwemo mie. Hutaki unaacha.
 
Mmoja wa watu wanaotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi ameonyesha nia ya kuutaka kiana. Watu humu humu JF wanampigia debe. Kwa mtindo huu nchi hata kama ingekuwa na bandari kumi tusingeendelea.
Kibaya zaidi, kuna wandishi na magezeti ikiwemo Tz Daima kazi ni kuwapaka matope wengine na kumsafisha huyo jamaa kiana. Kuna makala moja kila jumatano ktk gazeti hilo hunitia hasira. Sijui huyo mwandishi kapewa nini. Hahawaji kuona baya hata moja la huyo jamaa. Jamani njaa kitu kibaya sana
Kagame yupi sahihi maana amedhibita rushwa ktk nchi yake. Pesa za serikali yake pamoja na misaada zinatumika vizuri. Hakuna muujiza mwingine.
Tanzania tunabadilisha tu aina ya wezi madarakani. Mfupi, mrefu, meusi, mweupe, sura mbaya, handsome nk lkn sifa kuu yao moja tu: wezi wala rushwa wakubwa.
Tunahitaji Kagame wetu

Si Mtaje Tu Mkuu Anaitwa#PASCALLY MAYALLA Mwanzo Alianza Vizuri Lakini Sasa Keshanunuliwa Na Ile Kambi Yetu Yaani Full Kumpamba Hata Yasiyopambika.
 
... Wewe Ni Mpumbafu Na Hutaki Kueleweshwa, Hakusema Bandari Iende Rwanda, Alisema Yeye Angekuwa Rais Wa Tz Angeweza Kufanya Hayo Kwa Watz. Mbona We Mgumu Kuelewa??
Mpumbavu wewe cho*ko unaye****** na General Nkunda matokeo yake huelewi! Kwanini efficiency yake iwe kama tu angekuwa Rais wa Tanzania na asitumie changamoto za nchi yake? Kutokana na upumbavu wako usiotaka kuelewa umeshindwa kufahamu hata niliposema kiongozi bora ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto zilizopo kwake... Nimekupa mfano wa Uswis... ile nchi haina lolote, lakini viongozi wake hawakuota wangekuwa wanaongoza Uholanzi yenye bandari ya Amsterdam.
 
Kwangu Mimi UDICTATOR WAKE NAONA NI MZURI YAANI UDICTATOR POA
Amefanya nini cha maana kwa ajili ya wananchi wake zaidi ya kuwabinya?? Tatizo watu mnadanganyika na propaganda! Matokeo yake ndo haya mtu anaota angekuwa Rais wa Tanzania... WHY Tanzania? Kigezo ni bandari... yaani anashindwa kufanya makubwa Rwanda kwavile tu hakuna bandari?? Look, kina nchi ngapi duniani hazina bandari wala rasilimali lakini zimetusua??
 
... Kwahyo Hapo Ndo Umejibu Hoja? Unasoma Darasa La Ngapi, Inawezekana Siyo Kosa Lako.
Nilijua tu kwamba watapatikana watu wa mcheche wa haraka kama wewe . kwa kawaida mtazamaji wa mpira hujifanya mchezaji kwa hoja kulijo aliyeko uwanjani. Na watu husema mie ningemwoa mwanamke yule ningempenda zaidi. Mpende wako kwanza, kagame angekuwa kiongozi bora asingekuwa mkandamizaji wa wanyarwanda wenzie hat a kufikia kuwafanyia umafia ugaibuni. Kagame hajiamini, hihi niwaambie washabiki wake wajiandae na mabadiliko Paulo atakapong'atukuka mpaka yale mashamba yake watachukua na ahule ya mkewe watanyang'anya.
 
Ndo mana hanenepi kwa wivu

hehehe...hawa marais wa "viwilaya" hivi wanakuaga hivi...kila kikubwa wanakionea wivu na kufananisha na mazingira yao...

Tanzania nchi ngumu hii...wananchi wamelala wanategemea serikali kila kitu...fatalistic view of life...
 
Bravo Kagame umenena ukweli. Huku kwetu yako makampuni ya kifisadi tu wanakula. Achilia bandari kuna madini na gas na mafuta tayari mafisadi wameshakipanga. Chama tawala kimetumaliza watanzania. Umaskini unaongezeka kila kukicha. Shuani kabisa.
 
Mpumbavu wewe cho*ko unaye****** na General Nkunda matokeo yake huelewi! Kwanini efficiency yake iwe kama tu angekuwa Rais wa Tanzania na asitumie changamoto za nchi yake? Kutokana na upumbavu wako usiotaka kuelewa umeshindwa kufahamu hata niliposema kiongozi bora ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto zilizopo kwake... Nimekupa mfano wa Uswis... ile nchi haina lolote, lakini viongozi wake hawakuota wangekuwa wanaongoza Uholanzi yenye bandari ya Amsterdam.

.... Mkuu, Kwa Taarifa Yako Kagame Ameweza Kutatua Matatizo Ya Watu Wake Kwa Asilimia 90 Pamoja Na Changamoto Za Nchi Yake, Ndo Maana Anaishangaa Tz Imeshndwaje. Hao Unaotolea Mfano Eti Uholanz, Uswiz Na Wengneo Wako Katk Kiwango Cha Juu Kwa Kuwa Na Viongoz Wazr
 
Amefanya nini cha maana kwa ajili ya wananchi wake zaidi ya kuwabinya?? Tatizo watu mnadanganyika na propaganda! Matokeo yake ndo haya mtu anaota angekuwa Rais wa Tanzania... WHY Tanzania? Kigezo ni bandari... yaani anashindwa kufanya makubwa Rwanda kwavile tu hakuna bandari?? Look, kina nchi ngapi duniani hazina bandari wala rasilimali lakini zimetusua??

... Yaan Nasoma Koment Zako Hadi Nacheka Sana" Nina Wasiwas Darasani Kama Unasoma, Basi Huwa Unakua Wa Kwanza Kutoka Mwisho.
 
Nilijua tu kwamba watapatikana watu wa mcheche wa haraka kama wewe . kwa kawaida mtazamaji wa mpira hujifanya mchezaji kwa hoja kulijo aliyeko uwanjani. Na watu husema mie ningemwoa mwanamke yule ningempenda zaidi. Mpende wako kwanza, kagame angekuwa kiongozi bora asingekuwa mkandamizaji wa wanyarwanda wenzie hat a kufikia kuwafanyia umafia ugaibuni. Kagame hajiamini, hihi niwaambie washabiki wake wajiandae na mabadiliko Paulo atakapong'atukuka mpaka yale mashamba yake watachukua na ahule ya mkewe watanyang'anya.

... Polee Mkuu, Ni Kitu Tu Hujui, Kagame Ni Lulu Ya Wanyarwanda. Maadui Wa Rwanda Kama Tz Na Sauz Afrika Ndo Wanamchukia. Uliza Wanyarwanda Wenyewe Watakwambia Wanavyompenda Prezda Wao.
 
.... Mkuu, Kwa Taarifa Yako Kagame Ameweza Kutatua Matatizo Ya Watu Wake Kwa Asilimia 90 Pamoja Na Changamoto Za Nchi Yake, Ndo Maana Anaishangaa Tz Imeshndwaje. Hao Unaotolea Mfano Eti Uholanz, Uswiz Na Wengneo Wako Katk Kiwango Cha Juu Kwa Kuwa Na Viongoz Wazr
Usilete vichekesho wewe... hivi unamaanisha nini unaposema ametatua matatizo kwa 90%?? Moja ya matatizo duniani ni uhaba wa ajira... kwa hiyo unataka kusema tatizo la ajira kwa Rwanda ni 10%? Unataka kusema 90% ya wananchi wa Rwanda wanapata huduma za maji safi na salama? Unataka kusema 90% ya Wanyarwanda wanapata huduma bora za afya na elimu? Unataka kusema 90% ya Wanyarwanda wana uhakika wa chakula(food security)? Unataka kuniambia miundombinu kwa Rwanda imefikia kiwango cha ubora na upatakanaji wa 90%? Unamaanisha nini unaposema PK ametatua matatizo ya nchi yake kwa 90%? Nimekutajia changamoto chache sana ambazo zipo kwenye nchi nyingi... ndo unataka kusema kwamba zote hizo ametatua kwa 90%?

By the way, Tanzania si nchi pekee yenye bandari na bado ni maskini... karibu nchi zote za Afrika ukanda wa Bahari ya Hindi na hata ule wa Atlantic, nyingi ya nchi hizi zina bandari na bado maskini!! Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba PK ndo Rais genius kuliko wote hao... au yeye angeweza ku-offer hizo service only kama angekuwa Tanzania?? What if angekuwa Mozambique? Au unataka kusema hayo anayedai kwamba angefanya Mozambique, Kenya, Somalia, South Africa, Nigeria, Ivory Coast kote yanafanyika lakini kv JK ni stupid basi angepewa yeye PK ndo angefanya kama wanavyofanya hao wengine??
 
... Yaan Nasoma Koment Zako Hadi Nacheka Sana" Nina Wasiwas Darasani Kama Unasoma, Basi Huwa Unakua Wa Kwanza Kutoka Mwisho.
Badala ya kupoteza muda kucheka unaonaje ungetumia japo robo tu ya huo muda kujibu hoja? What's so special in Rwanda??
 
.... Mkuu, Kwa Taarifa Yako Kagame Ameweza Kutatua Matatizo Ya Watu Wake Kwa Asilimia 90 Pamoja Na Changamoto Za Nchi Yake, Ndo Maana Anaishangaa Tz Imeshndwaje. Hao Unaotolea Mfano Eti Uholanz, Uswiz Na Wengneo Wako Katk Kiwango Cha Juu Kwa Kuwa Na Viongoz Wazr

kagame/Rwanda ni kama mwanaume mwenye kibamia, hajiamini, kila saa anajilinganisha na Tanzania yenye dushelele la maana. Kwani hamuwezi kuendelea na hayo maendeleo yenu bila kujilinganisha na TZ? kila siku same story "look at us, look at us...". vibamia wakubwa! cc: murutongore Koba NasDaz
 
.... Tatizo Sis Watanzania Tunakurupuka Mno, Kumbuka Bidhaa Nying Za Rwanda Zilikua Zinapitia Bandar Ya Dar, Aliona Uozo Mwing Ndan Ya Bandar Ndo Maana Alitoa Kauli Hiyo
 
Back
Top Bottom