Badala ya kupoteza muda kucheka unaonaje ungetumia japo robo tu ya huo muda kujibu hoja? What's so special in Rwanda??
... Hakuna Hoja Ya Kujibu, Kuna Uvundo Tu.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala ya kupoteza muda kucheka unaonaje ungetumia japo robo tu ya huo muda kujibu hoja? What's so special in Rwanda??
Nilijua tu kwamba watapatikana watu wa mcheche wa haraka kama wewe . kwa kawaida mtazamaji wa mpira hujifanya mchezaji kwa hoja kulijo aliyeko uwanjani. Na watu husema mie ningemwoa mwanamke yule ningempenda zaidi. Mpende wako kwanza, kagame angekuwa kiongozi bora asingekuwa mkandamizaji wa wanyarwanda wenzie hat a kufikia kuwafanyia umafia ugaibuni. Kagame hajiamini, hihi niwaambie washabiki wake wajiandae na mabadiliko Paulo atakapong'atukuka mpaka yale mashamba yake watachukua na ahule ya mkewe watanyang'anya.
Ndo mana hanenepi kwa wivu
kwa lifestyle yetu , Kagame hatufai ,sie tumezoea short cut , sasa akija mtu wa type take kila mtu atamchukia.Utakuta libaba zima liko barabarani lina nunua cone ya Azam linaifungua halafu mfuko wake linautupa njiani.Ingekuwa Rwanda sijui wangemfanyaje mtu huyo.
The answer is simple and clear... there's nothing special outta there! Ni mambo mawili tu ambayo namsifu Kagame... mosi, hata kama Rushwa bado ipo Rwanda lakini PK anaonesha dhahiri anaichukia rushwa... kwangu mimi, kumaliza rushwa ni jambo moja na kuichukia kwa dhati ni jambo lingine... Nyerere hapa anasifiwa sana lakini si kwamba serikali yake haikuwa na wala rushwa bali Nyerere aliichukia rushwa the same as PK. Kitu kingine alichofudhu PK ni kuondoa ukiritimba especially kwenye maeneo ya biashara... kwa haya mawili, kudos lakini mengine ni propaganda...... Hakuna Hoja Ya Kujibu, Kuna Uvundo Tu.!!
You're very right... na ndio maana nikasema bas hapo kuna tatizo ikiwa mtu anaota angefanya mazuri kama angekuwa Rais wa Tanzania... kisa, eti kuna bandari as if nchi zote zilizoendelea dunian zina bandari!!!Wandugu, siku zote mwenye kasoro hujitapa na kujikweza kwani akikaa kimya hatasikika wala kuknekana. Kauli hiyo na nyinginezo ni kujikweza tu mabega. Silence speaks louder! Tusirini mtasikia akisema, "tukigundu gesi na mafuta..." Watanzania tusonge mbele na ukubwa wa ncho yetu utadhihiri miaka si mingi.
kwa ka-Nchi kake kalivyo kadogo ni kweli angeweza kutoa huduma bure, lakin si kwa ukubwa wa TZ.
Kunenepa kupita kiasi ni Uzembe! Kagame Yuko makini sana kwenye idara zote .
The answer is simple and clear... there's nothing special outta there! Ni mambo mawili tu ambayo namsifu Kagame... mosi, hata kama Rushwa bado ipo Rwanda lakini PK anaonesha dhahiri anaichukia rushwa... kwangu mimi, kumaliza rushwa ni jambo moja na kuichukia kwa dhati ni jambo lingine... Nyerere hapa anasifiwa sana lakini si kwamba serikali yake haikuwa na wala rushwa bali Nyerere aliichukia rushwa the same as PK. Kitu kingine alichofudhu PK ni kuondoa ukiritimba especially kwenye maeneo ya biashara... kwa haya mawili, kudos lakini mengine ni propaganda...
.... Tatizo Sis Watanzania Tunakurupuka Mno, Kumbuka Bidhaa Nying Za Rwanda Zilikua Zinapitia Bandar Ya Dar, Aliona Uozo Mwing Ndan Ya Bandar Ndo Maana Alitoa Kauli Hiyo
Paradox juu ya PK: anapata mialiko zaidi ya 500 kutoka jumuia za kimataifa kwenda kuwahutubia, nchi yake inatuhumiwa kupora rasilimali za DRC, nchi yake inasifika kwa kutokuwa na mzaha mzaha wa kuchezea sheria, ukisoma maoni juu yake kwenye account yake ya facebook, wafuasi wengi wanampenda. Lingine, haogopi kusema msimamo wa nchi yake mbele ya wale wanaoitwa wakubwa. Lakini linaloniacha hoi, tunamuona threat lakini wanyarwanda kibao tumewaajiri kwenye maeneo nyeti na wanampa feedback juu ya kila tufanyacho! Mimi naona tunyamaze tu.
Umesema ametatua matatizo ya Rwanda kwa 90%... Rwanda ina matatizo kila idara... from miundombinu, huduma za afya, huduma za elimu, umaskini na vigezo vingine vyote vya maendeleo kwa jamiii! Huwezi kusema hayo ni machache tu wakati tagu nianze kukuuliza, hujataja hata moja... Hayo niliyotaja hayawezi kuwa 90% ya matatizo ya Rwanda! Ukichukua povert indicators zote, none of them Rwanda is better off!... Kwakweli Umeanza Kuelewa, Hayo Ni Machache Tu Kati Ya Mengi Aloyafanya. Kwa Taarifa Yako, Rwanda Ni Ya Kwanza Eas Afrika Kwa Kufanikisha Kutokomeza Rushwa
Tangu niingie kwenye huu mjadala nimekuwa nikiwahoji what's so specia in Rwanda... hakuna hata mmoja aliyetaja!! Huyo jamaa anayejiita MAHORO anadai PK ametatua 90% ya matatizo ya Rwanda, nimemuuliza ikiwa miundombinu ya Rwanda ipo 90% good condition, elimu 90% fine, afya 90% fine, upatikanaji wa ajira 90%, n.k, hajajibu mpaka sasa!!pitisheni mizigo yenu kwa helikopta juu kwa juu nyinyi si mna maendeleo bwana!
You've nothing to support your arguments... that's it! Ni ujinga kujidanganya eti Rwanda kuna maendeleo wakati mwenyewe unafahamu kwamba wana-Rwanda wengi ni maskini ambao wanaishi chini ya $1.... Hakuna Hoja Ya Kujibu, Kuna Uvundo Tu.!!