Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

kagame yupo sahihi kabisa.Tanzania tunaongozwa na mabozongo wazee wa misheni tauni wasokuwa na vission wala mission.
Wote ambao mnaunga mkono hoja ya Kagame hamjajibu swali langu! J, nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? Why iwe kama ingekuwa ni bandari ya Dar es salaam na sio nyingine yoyote ile kama vile Mombasa, Beira, Durban and so on? Kama anasema bandari ya Dar ingekuwa nchini kwake basi angeweza kufanya hayo anayotamani kufanya, in other way round ni sawa na kusema anashindwa kufanya kwavile hana bandari! Ni lini Rwanda inatarajiwa kupata bandari ya dar es salaam ili aweze kutimiza ndoto zake? Hili ni muhimu kwavile inaonesha uwezo wake yeye utakuwa pale tu atakapopata bandari, tena ya Dar es salaam! Nisaidie kujibu!
 
Wanaomuunga mkono Kagame hawafahamu kwamba kauli hiyo ya Kagame (kama kweli aliwahi kusema) inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi bora na makini. Kiongozi bora ni yule anayeweza kupambana na changamoto za mazingira yakiyomzunguka ili ku-achieve desired goals. Nchi kama Switzerland ni moja ya nchi zenye changamoto kubwa duniani lakini viongozi wa pale hawakuwahi kuota kuwa na bandari ya Amsterdam ili waweze kufikia malengo ya nchi! Sasa huyu anayeota kuwa na bandari ya Dar es salaam basi atasubiri sana kwavile haitatokea Rwanda kuwa na bandari ya Dar.
 
... Inaonekana Wewe Ni Kiraza, Huelewi.!
 
mimi kiraza... wewe KILAZA... kwenye msamiati wa Kiswahili hatuna kiraza isipokuwa kilaza, yaani juha asiye na akili. Sasa jibu hoja! Ina maana kila nchi iliyoendelea duniani ina bandari?
 
Wote ambao mnaunga mkono hoja ya Kagame hamjajibu swali langu! J, nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? Why iwe kama ingekuwa ni bandari ya Dar es salaam na sio nyingine yoyote ile kama vile Mombasa, Beira, Durban and so on? Kama anasema bandari ya Dar ingekuwa nchini kwake basi angeweza kufanya hayo anayotamani kufanya, in other way round ni sawa na kusema anashindwa kufanya kwavile hana bandari! Ni lini Rwanda inatarajiwa kupata bandari ya dar es salaam ili aweze kutimiza ndoto zake? Hili ni muhimu kwavile inaonesha uwezo wake yeye utakuwa pale tu atakapopata bandari, tena ya Dar es salaam! Nisaidie kujibu!

Kiukweli kagame kishamuona kiongozi wotu mkuu Wa kaya ni dhaifu sana.hana strong will ya kuwaletea wananch wake maendeleo mbali na rasilimali nyingi tulizojariwa!!anaona jinsi serikali inavyofumbia macho ufisadi Wa mabilioni na mabilion tena mchana kweupee uku wezi wakijulikana na wengine adi wanapandishwa vyeo baada ya kuiba.anaiona Tanzania jinsi inavyoliwa maliasili zake na wageni bila Huruma uku nchi ikipata kiduchuuu !!anaona jinsi mkuu Wa kaya anavyoleta mzaa na kuchekacheka kwenye mambo serious na nyeti yanayohusu mustakabali Wa taifa.anaona udhaifu mwingi sana ambao kwake ameudhibiti!!kwa kweli kagame anaona mengi pengune kuliko hats sisi wayanzania Wa kawaida.anaona na mizaa ya bandarini.jinsi watu wanavyoiba na kua mamilionea ndani ya mda mfupi!!jaman kagame anaona mengi
 
Jina langu ni MAHESABU, jina linahakisi hali halisi,Kagame ni rais wa Rwanda katika habari yako wapi umeainisha akiwa rais wa Tanzania.... hapo mtoa mada na mchangia mada nani amekurupuka!

.... Mkuu Hebu Rudia Kusoma Mada Yangu, Usisome Title Tu Na Kukimbilia Kukoment
 
Kiukweli kagame kishamuona kiongozi wotu mkuu Wa kaya ni dhaifu sana.hana strong will ya kuwaletea wananch wake maendeleo mbali na rasilimali nyingi tulizojariwa!!anaona jinsi serikali inavyofumbia macho ufisadi Wa mabilioni na mabilion tena mchana kweupee uku wezi wakijulikana na wengine adi wanapandishwa vyeo baada ya kuiba.anaiona Tanzania jinsi inavyoliwa maliasili zake na wageni bila Huruma uku nchi ikipata kiduchuuu !!anaona jinsi mkuu Wa kaya anavyoleta mzaa na kuchekacheka kwenye mambo serious na nyeti yanayohusu mustakabali Wa taifa.anaona udhaifu mwingi sana ambao kwake ameudhibiti!!kwa kweli kagame anaona mengi pengune kuliko hats sisi wayanzania Wa kawaida.anaona na mizaa ya bandarini.jinsi watu wanavyoiba na kua mamilionea ndani ya mda mfupi!!jaman kagame anaona mengi
Swali la msingi bado halijajibiwa! Je, nchi zote duniani zilizoendelea zina bandari? Kwanini Kagame adhani Rwanda ingekuw imeendelea endapo tu wangekuwa na bandari ya Dar es salaam? Ndio maana nikasema, kwa mtu anayeelewa ni kwamba Kagame anaonesha si kiongozi bora kwavile ameshindwa kukabiliana na changamoto za nchini mwake kuwaletea wananchi maendeleo na badala yake kuishia kuota kwamba maendeleo yangekuwapo endapo bandari ya Dar es salaam ingekuwa kwao!!!

That's one, lakini swali lingine ambalo halijajibiwa ni kwamba why bandari ya Dar na sio nyingine yoyote ile? Ina maana nchi zote za Afrika zenye bandari zimeendelea? Lakini yote kwa yote, inahitaji uwe na akili ya kilevi ili uweze kuamini kwamba Rwanda imeendelea kuliko Tanzania... au ndo kwa kuwa hawana bandari?? Yaani kutokuwa na bandari ya Dar es salaam tu ndiko kumefanya Rwanda iwe ni moja ya nchi maskini duniani??
 
Wote ambao mnaunga mkono hoja ya Kagame hamjajibu swali langu! J, nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? Why iwe kama ingekuwa ni bandari ya Dar es salaam na sio nyingine yoyote ile kama vile Mombasa, Beira, Durban and so on? Kama anasema bandari ya Dar ingekuwa nchini kwake basi angeweza kufanya hayo anayotamani kufanya, in other way round ni sawa na kusema anashindwa kufanya kwavile hana bandari! Ni lini Rwanda inatarajiwa kupata bandari ya dar es salaam ili aweze kutimiza ndoto zake? Hili ni muhimu kwavile inaonesha uwezo wake yeye utakuwa pale tu atakapopata bandari, tena ya Dar es salaam! Nisaidie kujibu!

JIBU:
Nia yake (PK) ilikuwa ni kumrushia TUSI anayeongoza Tanzania BILA kutamka bayana TUSI lenyewe!! Issue siyo rasilimali zilizopo TZ. After all, ukitaka kumtusi (!) mwenzio si lazima umtamkie wewe ni kilaza! Hakuna la ajabu hapa. Kwenye miti siku zote hakuna wajenzi ndivyo ulivyo ule msemo.
Huyu PK ningemwona wa maana kama angeweza kuifikisha nchi yake ilipo kwa kutumia rasilimali zake na siyo za kukwiba! Ingenuity yake ingeonekana. at the end, jizi lnabaki kuwa jizi tu. Sawa na MIJIZI mingine kama walivyo MAFISADI wa hapa. always, THIEVES!
 
JIBU:

Nia yake (PK) ilikuwa ni kumrushia TUSI anayeongoza Tanzania BILA kutamka bayana TUSI lenyewe!! Issue siyo rasilimali zilizopo TZ. After all, ukitaka kumtusi (!) mwenzio si lazima umtamkie wewe ni kilaza! (Funny because PK ni mTUSI!!)
Nakubaliana na wewe... na inasemekana JK alishasema kwamba barabara zilizopo Tanzania ingekuwa ndo zipo Rwanda basi zingekuwa zimeingia hadi kwenye vyoo vya watu!!! That's one, but more important, ina maana wale wanaomuunga mkono PK wanafanya hivyo kwavile wanaamini PK alikusudia kumtusi JK, au? Nauliza swali hili huku nikiamini kwamba wapo wanaodhani kwamba kejeli za PK kwa JK ni kutokana na kile wanachoamini kwamba eti JK ni dhaifu (hili la udhaifu wa JK nilishapata kulizungumza hapa...) lakini kwa viongozi jeuri kama Kagame hahitaji uwe dhaifu ili akukejeli au hata kukutusi... all he need ni wewe kuingilia interests zake. Hakuna asiyefahamu ni namna gani Hayati Nyerere alivyokua strong lakini alishawahi kukejeliwa kwa kiwango cha juu kabisa na mwendawazimu Idd Amin.
 
Mwambie huyo kimbaumbau wako akiendelea kupiga kelele tutakigeuza ki nchi chake wilaya ya mkoa wa kigoma..!
 
Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi kadhaa zinazo tegemea kusafirisha mizigo yake.

Zipo nchi nyingi duniani ambazo kwa bandari pekee zimepata kupaa kiuchumi miongoni mwao ikiwamo Hongkong ,Singapore,Uholanzi nk.Lakini kwanini Tanzania Hatuoni mabadiliko ya kiuchumi yakiwa dhahiri kutokana na bandari hii?

Miradi mingi ya kiuchumi ni mikopo toka kwa wahisani.Barabara kama ya DOM-IRINGA ni mkopo toka Benki ya Africa,na miradi mingi ni mikopo toka kwa wahisani kiasi sasa kila Mtanzania mpaka mtoto mdogo anadaiwa zaidi ya Tsh 450000(laki nne na nusu).Fedha za mapato kama ya bandari hii huenda wapi?Kuna harufu ya ufisadi wa mapato ya bandari kwa kiasi kikubwa.

Napata shaka kuona kuna benk kama M Benki imbayo tawi lake limo ndani ya jengo la ofisi za mapato.Mtu analipia pale na document yake ni halali palepale na mzigo unatoka.

Hii benki niya nani?Benki zingine ukilipia document yake mpaka mpaka iende hazina ku verify ndipo uchukue mzigo.

Naona kama mafisadi wananjia zao za kuchota hela kirahisi kama kupitia benki hii,labda ndiyo maana hatuoni mabadiliko yoyote ya kiuchumi.

Gari moja ndogo inayo pita kwenda nchi nyingine hulipia sichini ya 3000000/=(milioni tatu) na gari pale zinapita kama maji tu.Pita barabara ya Dar-Tunduma uone gari zenye number ya IT utapata picha ya hoja hii pata picha ya 300.

Kagame is absolutely right
 
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
tufanye kazi kwa bidii, huku tunalipa kodi kwa bidii, alaf inaishia mifukoni mwa wachache!!! incchi itaendelea kweli.. nisawa na kujaza maji katika pipa lililotoboka.
 
Nakubaliana na wewe... na inasemekana JK alishasema kwamba barabara zilizopo Tanzania ingekuwa ndo zipo Rwanda basi zingekuwa zimeingia hadi kwenye vyoo vya watu!!! That's one, but more important, ina maana wale wanaomuunga mkono PK wanafanya hivyo kwavile wanaamini PK alikusudia kumtusi JK, au? Nauliza swali hili huku nikiamini kwamba wapo wanaodhani kwamba kejeli za PK kwa JK ni kutokana na kile wanachoamini kwamba eti JK ni dhaifu (hili la udhaifu wa JK nilishapata kulizungumza hapa...) lakini kwa viongozi jeuri kama Kagame hahitaji uwe dhaifu ili akukejeli au hata kukutusi... all he need ni wewe kuingilia interests zake. Hakuna asiyefahamu ni namna gani Hayati Nyerere alivyokua strong lakini alishawahi kukejeliwa kwa kiwango cha juu kabisa na mwendawazimu Idd Amin.

Mkuu, tayari umemwaga mboga na ugali. Kwa namna mali za Congo zilivomnufaisha PK sidhani kama atasahau milele yaliyotokea baada ya kufurumishwa toka Congo. Tutegemee matusi zaidi up to 2015
 
Jamani tuache ushabiki. Simuungi mkono kagame kwa asilimia zote. But he has a point. Kuna mismanagement kubwa ya resources zetu
 
Hizi ni hoja za kitoto kabisa. Huwezi ukajenga hoja kwa assumptions.

Kwani Afrika nzima bandari ni Dsm pekee? Haya ni majibu rahisi kwa maswali magumu.
Je kila nchi yenye bandari inatoa huduma bure?
 
Back
Top Bottom