rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Umeelezea vizuri ila kwa yondani umechemka kapitwa na wakatiOnyango ni beki mzuri Kama alivyo Wawa....tatizo Simba liko kwenye kiungo mkabaji...Mkude ndie anaefanya wenzie waonekane uchochoro....muda mwingi hayuko kwenye eneo lake.... anakuwa juu ya eneo lake..hii inawapa wakati mgumu mabeki wa Kati... hasa no nne...kwani inabidi aende kuziba gape... huku aliacha gape....Simba wamesajiri viungo washambuli wengi...wakasau viungo wakabaji... Mkude mwenyewe analazimisha....ni mzuri akicheza Kama kiungo mshabuliaji.....Simba dilisha dogo watafute kiungo mkabaji...na beki mmoja wa Kati...napendekeza beki awe Yondani.
Kila timu ina udhaifu wake ndugu hakuna timu bora kila idara kwa 100%Niliwahi kushauri juu ya simba kutafuta mabeki wa kati wawili haraka iwezekanavyo.
.jana wenye macho ya mpira tumeona UBOVU WA MABEKI WA KATI.
KWA WALE MABEKI WAWA NA JOASHI TUKIENDA CAF NI 5.
Kuna wengine wanakoment ili kujaza server ila Onyango ndiye alikuwa beki bora siku ilehivi hamkuona mipira alozuia na alivyokuwa anakaba onyango?
itoshe kusema mpira mchezo wa makosa na ili goli litokee lazima kuwe na kosa mpira ni team work ijapokuwa goli likifungwa atalaumiwa kipa au beki makosa ya mzamiru na mkude ndio yaloigharim simba na huo ndio ukweli onyango aliona yeye ndiye beki wa mwisho na only solution ni kumuangusha nje ya eneo TK ijapokuwa ilitafsiriwa ndivyo sivyo
ifike mahali tuwapongeze wachezaji na tusiwakatishe tamaa
ikumbukwe goli lolote ili lifungwe lazima kosa litokee
Mkuu umenena vema, Simba inahitaji beki wa kati na kiungo mkabaji wenye uwezo.Onyango ni beki mzuri Kama alivyo Wawa....tatizo Simba liko kwenye kiungo mkabaji...Mkude ndie anaefanya wenzie waonekane uchochoro....muda mwingi hayuko kwenye eneo lake.... anakuwa juu ya eneo lake..hii inawapa wakati mgumu mabeki wa Kati... hasa no nne...kwani inabidi aende kuziba gape... huku aliacha gape....Simba wamesajiri viungo washambuli wengi...wakasau viungo wakabaji... Mkude mwenyewe analazimisha....ni mzuri akicheza Kama kiungo mshabuliaji.....Simba dilisha dogo watafute kiungo mkabaji...na beki mmoja wa Kati...napendekeza beki awe Yondani.
Platnum wanamkimbizaHuyu babu ahurumiwe
Kwakweli alifanya interception nyingi pamoja na tackling za uhakika!Kiufupi jana alikata umeme!Jana alitakata sana
Makundi yameshapangwa tutajua ubora wa Onyango na wengineo.Muda utasema umesahau mfano kipa si ndiyo huyu huyu wa goli 5 za As Vita,Goli 5 za waarabu,goli 4 za Tp mazembe,Leo wamesahau wanamsia sifia subirini muda utasema ubora wa kila Mchezaji kwani ubora wa Mchezaji hupimwa katika mechi ngumu na muhimuUkiwa kama shabiki wa soka bila kujali unashabikia timu gani, dondosha maoni yako kuhusu uwezo na kiwango cha beki wa kati wa Simba kutoka Kenya Joash Onyango 'Giorgio Chiellini' View attachment 1553311
Muda utasema kaka.Simba baada ya kumfunga Platinum fc wanajiona Wana kikosi Bora , kudharau wengine na kutamba kila kona.Niliwahi kushauri juu ya simba kutafuta mabeki wa kati wawili haraka iwezekanavyo.
.jana wenye macho ya mpira tumeona UBOVU WA MABEKI WA KATI.
KWA WALE MABEKI WAWA NA JOASHI TUKIENDA CAF NI 5.
Hata ungekuwa wewe na team yaki ungetamba vilevile mkuu.Muda utasema kaka.Simba baada ya kumfunga Platinum fc wanajiona Wana kikosi Bora , kudharau wengine na kutamba kila kona.
Pole Sana unateseka sana...relaxMuda utasema kaka.Simba baada ya kumfunga Platinum fc wanajiona Wana kikosi Bora , kudharau wengine na kutamba kila kona.
Amesahau alivyomfunga Singida united aliyeshuka daraja tena mechi ya kirafiki walivyojisifu kuwa wameamka kutoka ushindi wa goli moja na mtaani ikawa hatupumui.Hata ungekuwa wewe na team yaki ungetamba vilevile mkuu.
Pole sana kaka.Muda utasema kaka.Simba baada ya kumfunga Platinum fc wanajiona Wana kikosi Bora , kudharau wengine na kutamba kila kona.