Vipi kiwango cha Joash Onyango umekionaje?

Onyango ni beki mzuri Kama alivyo Wawa....tatizo Simba liko kwenye kiungo mkabaji...Mkude ndie anaefanya wenzie waonekane uchochoro....muda mwingi hayuko kwenye eneo lake.... anakuwa juu ya eneo lake..hii inawapa wakati mgumu mabeki wa Kati... hasa no nne...kwani inabidi aende kuziba gape... huku aliacha gape....Simba wamesajiri viungo washambuli wengi...wakasau viungo wakabaji... Mkude mwenyewe analazimisha....ni mzuri akicheza Kama kiungo mshabuliaji.....Simba dilisha dogo watafute kiungo mkabaji...na beki mmoja wa Kati...napendekeza beki awe Yondani.
Umeelezea vizuri ila kwa yondani umechemka kapitwa na wakati
 
Niliwahi kushauri juu ya simba kutafuta mabeki wa kati wawili haraka iwezekanavyo.

.jana wenye macho ya mpira tumeona UBOVU WA MABEKI WA KATI.

KWA WALE MABEKI WAWA NA JOASHI TUKIENDA CAF NI 5.
Kila timu ina udhaifu wake ndugu hakuna timu bora kila idara kwa 100%

Kama Onyango na wawa ni wabovu CL na CONFEDERATION mbona timu zao zilifanya vizuri respectively?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
hivi hamkuona mipira alozuia na alivyokuwa anakaba onyango?

itoshe kusema mpira mchezo wa makosa na ili goli litokee lazima kuwe na kosa mpira ni team work ijapokuwa goli likifungwa atalaumiwa kipa au beki makosa ya mzamiru na mkude ndio yaloigharim simba na huo ndio ukweli onyango aliona yeye ndiye beki wa mwisho na only solution ni kumuangusha nje ya eneo TK ijapokuwa ilitafsiriwa ndivyo sivyo

ifike mahali tuwapongeze wachezaji na tusiwakatishe tamaa

ikumbukwe goli lolote ili lifungwe lazima kosa litokee
 
Kuna wengine wanakoment ili kujaza server ila Onyango ndiye alikuwa beki bora siku ile
 
Onyango ni beki mzuri Kama alivyo Wawa....tatizo Simba liko kwenye kiungo mkabaji...Mkude ndie anaefanya wenzie waonekane uchochoro....muda mwingi hayuko kwenye eneo lake.... anakuwa juu ya eneo lake..hii inawapa wakati mgumu mabeki wa Kati... hasa no nne...kwani inabidi aende kuziba gape... huku aliacha gape....Simba wamesajiri viungo washambuli wengi...wakasau viungo wakabaji... Mkude mwenyewe analazimisha....ni mzuri akicheza Kama kiungo mshabuliaji.....Simba dilisha dogo watafute kiungo mkabaji...na beki mmoja wa Kati...napendekeza beki awe Yondani.
Mkuu umenena vema, Simba inahitaji beki wa kati na kiungo mkabaji wenye uwezo.
Hata hivyo sikubaliani na ushauri wako wa kumrudisha Yondani.
Umri wake kwenye soka umefika mwisho.

Naushauri uongozi wa Simba watafute vijana wa kitanzania wajenge uwezo wao kama ilivyokuwa zama za Deo Njohore, Iddi Selemani, Mustafa Hoza, Boniface Pawasa.
 
Ukiwa kama shabiki wa soka bila kujali unashabikia timu gani, dondosha maoni yako kuhusu uwezo na kiwango cha beki wa kati wa Simba kutoka Kenya Joash Onyango 'Giorgio Chiellini' View attachment 1553311
Makundi yameshapangwa tutajua ubora wa Onyango na wengineo.Muda utasema umesahau mfano kipa si ndiyo huyu huyu wa goli 5 za As Vita,Goli 5 za waarabu,goli 4 za Tp mazembe,Leo wamesahau wanamsia sifia subirini muda utasema ubora wa kila Mchezaji kwani ubora wa Mchezaji hupimwa katika mechi ngumu na muhimu
 
Niliwahi kushauri juu ya simba kutafuta mabeki wa kati wawili haraka iwezekanavyo.

.jana wenye macho ya mpira tumeona UBOVU WA MABEKI WA KATI.

KWA WALE MABEKI WAWA NA JOASHI TUKIENDA CAF NI 5.
Muda utasema kaka.Simba baada ya kumfunga Platinum fc wanajiona Wana kikosi Bora , kudharau wengine na kutamba kila kona.
 
Kutokana na TAKWIMU, yeye ndio amekua "man of the MATCH" [emoji116]
Screenshot_20210223-185113.jpg
Screenshot_20210223-185139.jpg
Screenshot_20210223-185226.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom