Onyango ni beki mzuri Kama alivyo Wawa....tatizo Simba liko kwenye kiungo mkabaji...Mkude ndie anaefanya wenzie waonekane uchochoro....muda mwingi hayuko kwenye eneo lake.... anakuwa juu ya eneo lake..hii inawapa wakati mgumu mabeki wa Kati... hasa no nne...kwani inabidi aende kuziba gape... huku aliacha gape....Simba wamesajiri viungo washambuli wengi...wakasau viungo wakabaji... Mkude mwenyewe analazimisha....ni mzuri akicheza Kama kiungo mshabuliaji.....Simba dilisha dogo watafute kiungo mkabaji...na beki mmoja wa Kati...napendekeza beki awe Yondani.