Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu.

Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
 
Askariii eeeh Vitani eeeh Baba

Hilo Jeshi Mambo yake Vitendo vyake Sawa sawa

Kulala kwake sawa sawa

Kutembea kwake sawa sawa

Kuamka kwake sawa sawa

Asiependa Jeshi letu atoroke saa 8 za Usiku..
 
Mimi fb na youtube nimejaribu zimegoma ila mitandao mingine sijajaribu
 
Nimecheka kweli.
Ubavu wangu bora yupo hapa anahangaika na Facebook na haifunguki, nimemuwekea Express VPN amefurahi sana wakati alikuwa amenuna baada ya "anayesemekana" ni mchepuko wangu kupata nafasi ya kwanza ya ubunge "vitu maalumu" mkoa X.
 
Back
Top Bottom