Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Jul 31, 2025 #1 Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,558 Reaction score 7,935 Jul 31, 2025 Thread starter #2 ujumbe ufike
butron JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,769 Reaction score 8,260 Jul 31, 2025 #3 YouTube tayari uko!
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,600 Reaction score 59,760 Jul 31, 2025 #4 Askariii eeeh Vitani eeeh Baba Hilo Jeshi Mambo yake Vitendo vyake Sawa sawa Kulala kwake sawa sawa Kutembea kwake sawa sawa Kuamka kwake sawa sawa Asiependa Jeshi letu atoroke saa 8 za Usiku..
Askariii eeeh Vitani eeeh Baba Hilo Jeshi Mambo yake Vitendo vyake Sawa sawa Kulala kwake sawa sawa Kutembea kwake sawa sawa Kuamka kwake sawa sawa Asiependa Jeshi letu atoroke saa 8 za Usiku..
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,216 Reaction score 13,608 Jul 31, 2025 #5 Mimi fb na youtube nimejaribu zimegoma ila mitandao mingine sijajaribu
K kitoronto mabwe New Member Joined Jul 31, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Jul 31, 2025 #6 Tayarii mda sana fb ishafungwa
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,348 Reaction score 15,205 Jul 31, 2025 #7 Nimecheka kweli. Ubavu wangu bora yupo hapa anahangaika na Facebook na haifunguki, nimemuwekea Express VPN amefurahi sana wakati alikuwa amenuna baada ya "anayesemekana" ni mchepuko wangu kupata nafasi ya kwanza ya ubunge "vitu maalumu" mkoa X.
Nimecheka kweli. Ubavu wangu bora yupo hapa anahangaika na Facebook na haifunguki, nimemuwekea Express VPN amefurahi sana wakati alikuwa amenuna baada ya "anayesemekana" ni mchepuko wangu kupata nafasi ya kwanza ya ubunge "vitu maalumu" mkoa X.