Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Ukifika hizo sehemu sio unatembea kama chizi ni unafika mfano kwa muuza viatu unauliza unakaa chini au pembeni kama unaongea simu na mtu, kanisani ujitengetenge kidogo kwa pembeni, gym uombe kupewa support kwa jamaa, harusini ukaekae kwa pembeni.Sokoni, kanisani, makongamano ya biashara, Gym, kariakoo, sherehe na maharusi