Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Hakuna mwanamke anataka hili jambo la wake wawili au watatu, changamoto idadi ya wanaume waliopo hawawezi kukidhi mahitaji ya wanawake

Wazungu wanadanganya dada zetu kuwa kuolewa mke wa pili ni utumwa japo WANASHAWISHI watu wajiunge kwenye laana ya USHOGA; hao wanawake wataolewa na nani?
Mf: Miji yenye madhehebu yasiyo ruhusu mke wa pili nchini Kenya ndio inaongoza kwa watoto wa mitaani na single mother...AMKENI kabla mambo hayajawa mabaya zaidi!!!
 
Mamauzi ya kuolewa na kuvunja ndoa yite yapo kwa Mwanamke itategemeana na jinsi yeye atakavyojiweka dhidi ya muoaji.Wanaume wengi tunaangalia vitu vingi kabla ya kuoa.
Mfano,wanaume wengi huwa tuna wanawake wengi tunapiga huko nje,sasa kuna Wanawake wakigundua Mme wake kafanya hivyo nae anarudishia-sasa mwanamke wa namna hiyo si anakutafutia kesi ya mauaji.
Lakini hiyo ni kwa wanawake almost wote, ni tit for tat, sema tu hua wengi hawajui km wamechapiwa
 
Kuna aina ya wanawake ukiwa nae, kwa jinsi mwili wake ulivo (hana joto sahihi) au ni oversize. Labda anashida ya harufu. Mwanamke wa hivi anapunguza nguvu za kiume.
Uwongo mkuu
 
Lakini hiyo ni kwa wanawake almost wote, ni tit for tat, sema tu hua wengi hawajui km wamechapiwa
Kuchapiwa ni kitu kisichokwepeka. Wenyewe wanakwambia humiliki mbususu, ni kwamba ni muda wako tuu so wee kama mke hakunyimi mbususu shukuru enjoy.
Mambo ya wivu kuwa wenngine wanagegeda achana na huo utoto
 
Mimi natoa offer kwa mdada aliyetulia sio wa kuigiza au aliyechoka kudanga nimuunganishe na Kijana mwenye mishe zake halali kabisa .
Sifa; awe mrembo na awe below 35 na yupo focused kwenye maisha
 
Kuchapiwa ni kitu kisichokwepeka. Wenyewe wanakwambia humiliki mbususu, ni kwamba ni muda wako tuu so wee kama mke hakunyimi mbususu shukuru enjoy.
Mambo ya wivu kuwa wenngine wanagegeda achana na huo utoto
“ngoja nzeeke zeeke kwanza prngine ntakuja elewa”

Suala la kugongewa usilirahisisishe hivyo
 
Mwanamke yupo so conservative kama kina Hitler unamuweja ndani wa nini, abaki na misimamo yake. Ndoa inahitaji mke submissive, wengi wa siku hizi mnapanda wote mnashuka wote, wajuaji balaa. Binafsi nawasifu coz tayari wanajua qualities zao hazifai kuwa wake, wanaamua kuishi namna wanavyotaka.
 
Tatizo genge la team kataa ndoa linakua kila siku na ni tishio kwa taifa
Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.

Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.

Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.

Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
 
“ngoja nzeeke zeeke kwanza prngine ntakuja elewa”

Suala la kugongewa usilirahisisishe hivyo
Wee kugongewa wala sio ishu mwanawane, mie ishu inakuja pale mwanamke anakataa tupige threesum na huyo anayemgonga....hapo aisee nitamaimdi kishenzi
 
Back
Top Bottom