Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Sokoni, kanisani, makongamano ya biashara, Gym, kariakoo, sherehe na maharusi
Ukifika hizo sehemu sio unatembea kama chizi ni unafika mfano kwa muuza viatu unauliza unakaa chini au pembeni kama unaongea simu na mtu, kanisani ujitengetenge kidogo kwa pembeni, gym uombe kupewa support kwa jamaa, harusini ukaekae kwa pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…