Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Niliwaona jana mlimani city mmeshikana viuno!!!Anapenda kunishika kiuno
Vipi wewe uko single mkuu?Subiri wanakuja
Acha wivu mtoto wa kiume wewe πWewe na bwana yako mnahitaji msaada
View attachment 3436976
Ndio niko freeVipi wewe uko single mkuu?
Mtu mzima mwenzangu, hebu fafanua vizuri lesso ni nini?Anapenda kuikalia kwa juu lesso yangu
Hadi raha wenyewe πYeap!
Na vile nina kiuno chembambaa mixer very flat tumbo
Wewe huwezi kukosa buana, au niwe matchmaker wako? kuna mtu humu namjua naye anatafuta mtu πππSisi tusiokuwa hata na hao wa kutuambia "I love you" tuna comment nini? Lol
πππππ
ππππ em subiri kwani.Wewe huwezi kukosa buana, au niwe matchmaker wako? kuna mtu humu namjua naye anatafuta mtu πππ
Kila kitu ambacho ni legalHadi raha wenyewe π
Na wewe huwa unamfanyia nini?