Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Jamii iliyokosa muelekeo ikijadili masuala ya faragha mitandaoni huku umaskini ukiwatandika na maradhi yakiwamaliza. Mnatabasamu kwenye status na mitandaoni huku mioyo ikitoa machozi, jasho na damu
Tajiri akifuatilia MMU

Acha upumbavu na kujiona wewe ndio una malengo na akili .

Kila mtu ana vipaumbele vyake na muda wa kurelax, hauwezekani muda wote uwe bize,

Nyinyi ndio mnaokufa mapema na presha kwa kujifanya mpo busy kila muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…