Kaoge kwanza nijipime π€£Kiuno size ngapi? Nijibu chapu naenda kuoga hapaπ
Mzee anazingua πOooh kumbe walio single wote ni wachafu na hawapendezi?
Bas sawaaa!!
Yaani na kg zangu 90 aniruhusu kulala pale halafu haumii abarikiwe san πππMungu awape maisha marefu wadada ambao hawana vitambi
Mzee anazingua πOooh kumbe walio single wote ni wachafu na hawapendezi?
Bas sawaaa!!
ππππ yaani nimecheka hatariiii.Mzee anazingua π
ππππ asije kutana na moto etiWe mponze mwenzio akutane na kisiki cha mpingo πΉπΉ
Aiseee umenikumbusha jambo muhimu sana vikoba na marejesho heeeee ππππkwanza kama humuelewi mwenzio vizuri utasema kakununiaππππ
Plus vikoba mixer betting yaani watu mnaishi Kama sijui vile nini....
Stress after stress
πππππEeeeh mbona utaimba utembee nayeNimetafuta tenzi namba 116 ni ile nyimbo Bwana U sehemu yangu π€£π€£
πΉπΉπΉ Wa petrolππππ asije kutana na moto eti
Yaani na kg zangu 90 aniruhusu kulala pale halafu haumii abarikiwe san πππ
Dada nmekumis upoπππππEeeeh mbona utaimba utembee naye
Nimecheka sana halafu nimejikuta naisikiliza π€£πππππEeeeh mbona utaimba utembee naye
Ah wapiJivutie kadada kakihaya kakuonyeshe mambo π na akiyarusha maji usiwe mvivu wa kuyanywa sasa ππ
Umeianza siku ya Bwana vizuri hakika leo utakuwa na siku njemaNimecheka sana halafu nimejikuta naisikiliza π€£
Aaaarghh watupumzishe na vitambi vyetu.Kwanza haviumi πΉπΉ
Nipo mrembo wangu....nimekuwa na majukumu humu naingia nasoma sichangii sana .....uko poa lkn?Dada nmekumis upo
Nipo poa aisee utu uzima jalala sahivi majukumu yanatuandama balaaNipo mrembo wangu....nimekuwa na majukumu humu naingia nasoma sichangii sana .....uko poa lkn?
Ameen π₯°Umeianza siku ya Bwana vizuri hakika leo utakuwa na siku njema
AmenAmeen π₯°
Itakuwa nzuri kwako pia
Hapo sasa πππππππ yaani nimecheka hatariiii.
Vichaa wakapata wa kuwaliwaza, sembuse mchafu mwenye utimamu wake? Lol