Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

😹😹😹
Si tulikubaliana humu wote wanaume, sasa mtu kaniuliza najibuje jamani??
Huyo hajauliza, anazuga tu, itakua anaitaka mashine ila ameogopa kukuomba directly πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Me sijasema ni mambo yako huyo uliyenae anaweza akakosea ukashangaaa imoooooo🀣🀣
πŸ˜‚ Kuna seal huko, hata akikosea ule mdudu wa haja hauwezi kupita kirahisi hivyo.
Ila ikitokea amejaribu kutelezea huko Sim2, hicho kibao nitamuwasha, ataenda kusimulia kwao!
 
😹😹😹 Wewe bahati sina 🌡
Ningekulilia mpk ungenipa nionjepo 😍

Wanaume mkinyimwa lieni wanawake tuna huruma tunawapea tyuuh…!! 😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aiseee umenikumbusha jambo muhimu sana vikoba na marejesho heeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwanza kama humuelewi mwenzio vizuri utasema kakununia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…