Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Huyu,basi tu hajui. Huu mzigo siyo wake. Ni jambazi sugu
 
Baada ya kutoka mishe mishale ya saa 4 za usiku, nikapita mgahawani kupata mkate wa usiku, nimenunua vitu vya kupika kesho asubuhi, Sasa hivi nipo na glass yangu ya wine na kaweed pembeni.

Niko jf Sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…