Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Uzururaji wa aina yoyote ile hubadili utamaduni wa mzuraraji na anakofikia pia. Mfano watalii wakija Africa wanachokisema juu ya Afrika huwafanya na wengine waje huku haraka sana ebu fikiria unaambiwa Ukerewe kuna jiwe juu ya jiwe likiwa ziwani linacheza cheza, na kuna mti umeinamia ziwani ila majani yake hayadondokei ziwani, yakidondokea tu ziwani yanakuwa mamba! Kawaida binadamu ambaye hakujaliwa upeo mkubwa akiambiwa hivo huamini kwa moyo wote hata bila kufika akaona.
Sasa fikiria Musa Myahudi amefikaje kwa Wengine wasio Wayahudi? Haya ni matokeo ya vita na utekaji, biashara, utafiti (mama jusi) na utalii. Afu mtu baada ya miaka mia 6 hivi anasema ametumiwa kitabu kutoka juu!!

tuwe wepesi ku-relax na ku-restart our thinking tusiwe juu juu tu tumekazwa akili hatuhoji lolote kwa sababu ya maandiko ya kutishia.
MAGIC power za makabila zipo tu na makabila hayatapotea maana yametokea zamani za Muumba!

Naomba kujua mwenye kumbukumbu ya lile Sanduku la Wayahudi (waisrael) lililokuwa linalindwa kuliko chochote liko wapi miaka hii, Sanduku la agano! Maana inaonekana lilikuwa kama ni sanduku la vyanzo vya uwezo mbali mbali wa Wayahudi! Hilo ndio la kutafuta mpaka huko inakosemekana na milango isiyofunguliwaga (VATICAN)
 

Liko kwa wenye Sanduku Waethiopia
 
To hoja ili kuivunja hiyo sio unaishia kuponda tu then unanyuti
 
Papa well said, awa jamaa ubishi ni asili yao hata kwenye ukweli, roho zina wauma kuona kuna ukweli au wakweli kubali kwani kukubali unakua ume badili dini??? acha hizo
 
chuki binafsi hizo, bingu saba zipo wewe wa wapi wewe kuna matabaka ya mbingu ndo maana kuna sehemu ndege zina ruka na zingine ndege hazifiki na hata ndege wanyama pia, na hata satelite kuna anga ndo zina rusha mawasiliano na sayansi ime thibitisha ilo kweli mbingu ni saba, wewe shule ulikimbia acha kudandia train kwa mbele acha chuki binafsi kukubali sio ume badili dini.
 
Inaonyesha jinsi upeo wako ulivyomdogo wa kuchanganua mambo.....akili yako imezimwa na kufungwa na hadithi za mudi alizopewa na mashetani
 
Inaonyesha jinsi upeo wako ulivyomdogo wa kuchanganua mambo.....akili yako imezimwa na kufungwa na hadithi za mudi alizopewa na mashetani
wewe ndo una upeo mdogo unadanyanwa mkate kua mwili wa mtu na pombe kua damu mnadanyanywa nje nje heti kafa na dhambi zenu msalabani kwahio unapeta kijinga dhambi zipo acha ujinga wewe, mudi fundi wewe ana jua yote hayo astronomy,geology, etc
 
Inaonyesha jinsi upeo wako ulivyomdogo wa kuchanganua mambo.....akili yako imezimwa na kufungwa na hadithi za mudi alizopewa na mashetani
Mi naona wewe ndio akili yako imefungwa na yule shoga mvaa nepi
 
Quran 23
12. Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.
13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
15. Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa.
16. Kisha hakika nyinyi Siku ya Kiyama mtafufuliwa.
17. Na kwa yakini tumeziumba juu yenu njia saba. Nasi hatukuwa wenye kughafilika na viumbe.

Hapo kuna embryology jinsi sperm mpaka embryo.
 
Msijitoe ufahamu!hata mwendawazimu anajua jinsi binadamu anavyopatikana!embrology gani mudi anaijua!mtakuwa vipofu hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…