Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Shida yako ni nini hapo?Mbona maelezo yako wazi?Au tatizo ni lugha?Qur'an yenyewe ndio inajieleza kama kuna aya zinazochukuwa nafasi ya aya nyingine,baada ya aya ya mwanzo maagizo yake kubadilika,kupitia hiyo hiyo Qur'an.
Kipengele Muhimu:
Qur'an yenyewe ndio inayojieleza sio kama kuna chanzo kingine ndio kimeeleza hayo.
 
Huko kutojuwa kusoma na kuandika,kumetajwa ndani ya Qur'an.
 
29:48 And you did not recite before it any scripture, nor did you inscribe one with your right hand. Otherwise the falsifiers would have had [cause for] doubt.

29:49 Rather, the Qur'an is distinct verses [preserved] within the breasts of those who have been given knowledge. And none reject Our verses except the wrongdoers.

29:50 But they say, "Why are not signs sent down to him from his Lord?" Say, "The signs are only with Allah , and I am only a clear warner."

29:51 And is it not sufficient for them that We revealed to you the Book which is recited to them? Indeed in that is a mercy and reminder for a people who believe.

29:52 Say, "Sufficient is Allah between me and you as Witness. He knows what is in the heavens and earth. And they who have believed in falsehood and disbelieved in Allah - it is those who are the losers."

29:53 And they urge you to hasten the punishment. And if not for [the decree of] a specified term, punishment would have reached them. But it will surely come to them suddenly while they perceive not.

29:54 They urge you to hasten the punishment. And indeed, Hell will be encompassing of the disbelievers

29:55 On the Day the punishment will cover them from above them and from below their feet and it is said, "Taste [the result of] what you used to do."

Hivi wakati hiyo Quran inaandikwa Huyo Filauni alikuwa hai? na wana wa Israeli walikuwa hawajavushwa Bahari ya Shamu? kama vyote vilikuwa vimeisha tokea nini cha ajabu hapo? hiyo si Historia!
 
Hivi wakati hiyo Quran inaandikwa Huyo Filauni alikuwa hai? na wana wa Israeli walikuwa hawajavushwa Bahari ya Shamu? kama vyote vilikuwa vimeisha tokea nini cha ajabu hapo? hiyo si Historia!
Tunajifunza historia,ili kama kuna makosa yaliyofanyika na sisi wa sasa tusifanye na kama yapo yenye manufaa,tuyaendeleze.
 
Hivi wakati hiyo Quran inaandikwa Huyo Filauni alikuwa hai? na wana wa Israeli walikuwa hawajavushwa Bahari ya Shamu? kama vyote vilikuwa vimeisha tokea nini cha ajabu hapo? hiyo si Historia!
Historia ngapi ambazo unakuta hazina ukweli ndani yake? Mbona biblia haikusema chochote kuhusu firauni baada ya kifo chake?
 
Historia ngapi ambazo unakuta hazina ukweli ndani yake? Mbona biblia haikusema chochote kuhusu firauni baada ya kifo chake?
Kuto kuandikwa kwa habari baada ya kifo cha huyo Filauni mimi siwezi kujua kwanini hazikuandikwa kwenye Bible, isitoshe kila kitu kilichokuwepo nyakati hizo kiliwekwa kwenye maandishi vinginevyo sipati picha Bible ingekuwa na ukubwa gani iwapo kilakitu unachokitaka wewe kiandikwe kingeandikwa. hata hivyo sidhani kama habariza huyo Filauni baada ya kifo chake kama zina impact yoyote katika maisha ndani ya KRISTO!
 
Ohh kama hazina impact yoyote kulikua kuna haja ya gani yakueleza kabisa hata mambo ya kina mUssa na nuhu na Ibrahim? Si ingewekwa tu historia ya Yesu?

Halafu suala hilo la Farauni nimetoa kama mfano tu. Yapo mengi ambayo yamegunduliwa juzi juzi tu na wana sayansi haliyakua Quran imeshayasema siku nyingi.
Mfano kuna Theory inaitwa BIG BANG. yaani Dunia mbingu na kila kilochomo ilikua ni kitu kimoja na zikasambaratishwa na kua sayari na mbingu mbalimbali.

Hayo Quran imesema miaka 1400 lakini juzi juzi tu sayansi imegundua.
 
hapo ndipo nianapata tabu, huyu Allah anawezaje toa statement bila kujua kuwa ipo sawa, mwishowe anaifanyia marekebisho, au kuirudia hiyo hiyo?
Ninachojua Mungu akisema neno halibdiliki hadi litimie katika ukamilifu wake na hawezi rudi na kusema hii kitu ilikuwa dhaifu niiongezee nguvu au naleta nyingine.
Tunaposema hizi ni fabrication za Qathem Abdullah mnakuwa wakali na kuj majibu rahisi rahisi, "eti qurani inasema yenyewe"
fafanua zaidi mkuu nikuelewe, quran haikuokotwa jangwani kama vumbi!!
 
hiyo sayansi ya quran ndio kutuambia kuwa ndunia ipo flat na mbingu zimejipanga kama ghorofa(parallel) ama jua linatembea na kwenda kuzama kwenye dimbwi la tope?
 
Historia ngapi ambazo unakuta hazina ukweli ndani yake? Mbona biblia haikusema chochote kuhusu firauni baada ya kifo chake?
biblia imeongea kuhusu Farao kwa sababu ilihusu wana Israel kuwepo utumwani Misri. Mungu alipowatoa kule kuwarudisha kwenye inchi yao aliyowaahidi tangu enzi za Abraham.
 
biblia imeongea kuhusu Farao kwa sababu ilihusu wana Israel kuwepo utumwani Misri. Mungu alipowatoa kule kuwarudisha kwenye inchi yao aliyowaahidi tangu enzi za Abraham.
Baada ya kifo cha farao kwenye bahari. Nini kilifatia?
 
acha uongo wewe mtume kayakuta yote hayo,hizo ni porojo tu na kupaste kazi za watu,ingekuwa dunia hii tungemfunga jera kwa wizi wa kazi za watu
 
Tatizo ni elewa wako mdogo,hizo aya unazosikia zimechukuwa nafasi ya aya nyingine,ni aya ambazo mwanzo zilikataza jambo halafu baadaye zikaamrisha jambo hilo lifanyike Mfano
Wakati waislamu,wakiteswa na kupigwa na wasiokuwa waislamu,mwanzo Allah,waliwakataza wasijibu mapigo,mpaka ilipofikia wakati wa waislamu wamejiimarisha vizuri,ndio wakapewa amri ya kujibu mapigo.Sasa hapo kumebadilika nini,hakujabadilika kitu,ni amri ya msijibu mapigo mapaka muwe mumejiimarisha.
 
Haaa so funny!
ama kweli hakuna Mungu isipokuwa Allah!
 
hiyo sayansi ya quran ndio kutuambia kuwa ndunia ipo flat na mbingu zimejipanga kama ghorofa(parallel) ama jua linatembea na kwenda kuzama kwenye dimbwi la tope?
Hakuna katika Qur'an haya umeandika hapa.Itakuwa uwelewa wako mdogo
1.Hakuna sehemu Qur'an imesema mbingu zimepangana kama maghorofa
2.Hakuna sehemu Qur'an imesema jua linazama kwenye tope,kilichoandikwa ni huyo aliyetajwa katika Qur'an ,NDIO ALIONA JUA LINAZAMA kwenye tope,hii ni sayansi tosha,yakuonyesha kama uoni wa binadamu una masafa yake ya kuona.Hata ukiwa baharini,jua likizama utaona linazama baharini,kwa upeo wa uoni wa kibinadamu.
hiyo sayansi ya quran ndio kutuambia kuwa ndunia ipo flat na mbingu zimejipanga kama ghorofa(parallel) ama jua linatembea na kwenda kuzama kwenye dimbwi la tope?
Hakuna katika Qur'an haya umeandika hapa.Itakuwa uwelewa wako mdogo
1.Hakuna sehemu Qur
 
Bila shaka nakufahamu shekhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…