Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Hao wanajifanya wanasayansi kwenye hii thread sio lolote ni wakristo wanautukana uislam kwa mgongo wa sayansi
Hapana mkuu kuna atheists humu non believer wao wanaamini kila kitu ni science sio Mungu ndo kafanya
 
Msipende kudanganya watu n'a uvivu wa kusoma vitabu vingne, science n'a technologie vlikuwepo even before Christ
Sija kataa kama havikuwepo, vilikuwepo ila watu hawakuvijua vingine. kutokana na science yao ilikua duni.
 
wewe hapo ndo unaji dhalilisha wapi nime sema Quran is a book of science?????????? wewe una dandia train kwambele ili upate umarufu.yale maandiko ya Mungu ila kuna maneno yako wazi kwa vitu fulani na science ika prove kweli so science eneywe inakubaliana na maandiko hayo. mfano nyuki maisha ya nyuki wana science wana mchambua nyuki ila kwenye Quran mungu alivyo mtaja wana science kweli waka prove ni kweli kama maandiko yanavyosema.
 
God is always there, sija leta science hapa. simply naelezea Maneno ya Mungu.


We will show them Our Signs in the universe, and in their own selves, until it becomes

manifest to them that this (the Quran) is the truth
 
Mie naweza kupa proof ya big bang theory.
 
Léonard de vinchi alidesign mchoro wa ndege before Christ, Archimedes ndo aliye gundua sheria za vitu kuelea eg ships, boats, balloon, ndege, n'a aligundua mizan or levers huyu aliishi before Christ ....zipo facts nying San znaprove
Kuelea hata mtoto akitupa kopo ataona linaelea. Suala la safina la nuhu hilo linatosha kuhusu boti na meli. Wewe umesema technologia ilikua imesha Advance kabla. Mie nimekuuliza ndege zilikuepo? Unaniambia mtu alichora mchoro wa plan ya ndege
 
Big fact
 
Kuelea hata mtoto akitupa kopo ataona linaelea. Suala la safina la nuhu hilo linatosha kuhusu boti na meli. Wewe umesema technologia ilikua imesha Advance kabla. Mie nimekuuliza ndege zilikuepo? Unaniambia mtu alichora mchoro wa plan ya ndege

Mnachobishania hata sikioni. Kama ni wanasayansi walikuwepo na yapo waliyoyagundua kwa wakati huo, kinachofanyika sasa ni muendelezo tu wa yale yaliyoanzwa na waliotangulia. Huwezi kufanya invention ya kila kitu mara moja, ndio maana hata hawa wa karne hii yapo mambo ambayo hawawezi kuyagundua bali yatakuja kugunduliwa na kizazi kinachokuja.

Quran kuzungumzia mambo yaliyokuwepo kabla haijaandikwa si ugunduzi bali ni copy & paste, na kama ingekuwa imejikita kwenye sayansi kama mnavyodai ningetegemea kuwaona wanasayansi wengi wenye background ya quran, badala yake tunashuhudia wanajimu tu na wataalam wa tiba, kwanini? Kwa sababu quran imejikita zaidi kwenye sayansi ya tiba...
 
Na wewe tumia akili japo kidogo, kama sayansi ilikuwa duni pyramids zilijengajwe? hivi umepewa ubongo unajuwa kazi ya ubongo?

Labda ungeelezea lakustaajabisha kwako kisayansi kwa ujenzi wa pyramids ili ufafanuliwe hiyo ajabu unayo ing'ang'aniza ya ujenzi wa pyramids kisayansi.
 
Tatizo ni upeo mdogo wa kufikiri!vitu hivi si lazima usome ndo uvijue?hivi kujua kama tendo la ndoa mtoto anatengenezwa hadi ujue kusoma?kumbuka mudi alikua mfanyabiashara na alisafiri sana kwa ajili ya biashara ni ukweli usiopingika mambo mengi alisimuliwa au alisikia masinulizibya watu wengine!
Kuhusu mbingu saba huu ni ujinga tu kitu kama hicho hakipo!kama unabidha dhibitisha!

Acha kumpa sifa ambazo kimsingi hastahili wala hadhi hiyo hana!
 


Umedhihirisha afya mbaya ya akili kweli
alio kwambia mbingu zimo ktk universe nani? 're u really know what's an universe? can u define it.?_ na wapi mtume kasema mbigu zipo ktk ulimwengu? au unatapika tu
 
Hili pia huhitaji kusoma au kuoteshwa na Mungu....nenda kaangalie mto pangani au rufiji maji yake yanapokutana na bahari utaona tofauti!Waliozipa majina hizi bahari na wasafiri wafanyabiashara karne na karne wanajua!labda kwa alah wa maka kwa sababu anajua lugha moja tu huu kwake ni muujiza
 
Ujinga wako ndo umasikini wako!endelea na porojo zako za quaran....wenye akili timamu hatuna mpango nazo....unatupotezea muda tu!
 
Ujinga huu sijui utakuisha lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…