Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?


Wakati mwingine tujaribu kuzuia uzezeta tulionao
Allah ansema BAHARI wewe unsema MTO hapo anaposema Allah pale yalipokomea maji ya chumvi ktk mchanganyiko na maji barid ukionja ni ya chumvi pia hapohapo yanapokomea ya baridi ktk mchanganyiko na chumvi ukionja ni baridi kisayansi chumvi hubadili ladha ya maji kwa kiasi kidogo nusu kilo ya chumvi yatosha kubadili ladha ya lita 20 za maji matamu. Je. Huko pangani kwako na rufiji yanapatikana hayo?
Kunahaja ya Ndilichako kubadilisha tena alama za ufaulu ziwe juu zaidi.
 
Ujinga wako ndo unakufanya usiyajue haya....kwetu sisi mabaharia tuajua...mipaka ya bahari rahis kuitambua pale maji yanapojitenga!sasa nashangaa ala wako anataka kutufanya majuha kwa kuona huo nao ni ushuhuda kwamba aliyegundua hayo ni mudi!jiongeze kidogo...weka kando buku lako la mudi angalau dk 2 utazame ulimwengu ulivyo....soma vitabu vingine uelimike!ndo mana mlifundishwa kuchamba kwa mchanga na bila kutafakari mkafanya hivyo kisa mtume feki kawaamrisha![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unajua the Big Bang Theory?
 

Never argue with embeciel
 
List of inventions in the medieval Islamic world - Wikipedia
 
Bishop wewe unahisi biblia ina sayansi ama haina?
 
Science ilikuepo toka kuumbwa kwa ulimwengu na binadamu amekua akibadilisha tu dhana yakurahisisha kulingana na mahitaji yake ya wakati uliopo.Kwaiyo kulingana na mahitaj ndo mana kunaletwa vitu vyakurahisisha mahitaj ila tangu uko nyuma sayansi ilikuepo na kulikua na mambo makubwa zaid kulingana na wakat wao ambayo leo hayana tena kazi.kwaiyo unapozungumzia mabadiliko ya teknolojia unazungumzia katika zana ya zama na mahitaji ndo mana yako yaliyoandikwa na mitume miaka iyo na leo tunayaona ni uvumbuz mpya kwasababu yamerahisishwa zama zetu kutokana na mahitaj yetu ya sasa.Mim binafsi naona hakuna kitu kipya duniani.kanuni za maisha na vilivyomo vilikuepo toka zaman kinachofanyika sasa ni kurahisisha tu kulingana na mahitaj na nyakati.
 
Mimi naomba kila jambo moja hapo nieleweshwe limetajwa vipi na Quran. Maji baridi na ya chumvi ni kweli Quran imetaja. Ila jambo hili lilifahamika miaka mingi sana kabla ya Mtume hasa na wale wasafiri wa majahazi.
 
Na wewe tumia akili japo kidogo, kama sayansi ilikuwa duni pyramids zilijengajwe? hivi umepewa ubongo unajuwa kazi ya ubongo?
Mkuu mbona hoja unaikimbia?
 
Ila mzungu aliyekudanganya kutumia tishu baada ya haja kubwa ili uwe safi Ndo unayemkubali siyo!!!
 
Hoja gani? Bahari ipo kabla ya mtume wala Qur'an, IQ ndogo ndio tatizo linalowasumbuwa nyinyi viumbe.
mf.Wewe Hyo bahari uliijua kwa kuingia darasani,ila mtume Muhammad s.a.w aliijua akiwa nyumbani kwake...
 
mf.Wewe Hyo bahari uliijua kwa kuingia darasani,ila mtume Muhammad s.a.w aliijua akiwa nyumbani kwake...
Kuna tatizo kwenye vichwa vya baadhi ya waislamu, hivi mtu aliyezaliwa, Unguja,Pemba, Mafia na sehemu zote zenye bahari ni mtume ndio kawaambia hii ni bahari? Au na wewe ni miongoni mwa wapumbavu wanaoamini Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na Mzungu wakati Wachaga wapo hapo kabla hata ya wazungu kuja?
 
Hapa tunaongelea Biblia au sayansi kwenye quran? Mbona unataka kuchanganya mada!...
Vitabu vya dini vyote vimekua na chembechembe za sayansi. Maana hata uumbaji tu na jinsi mwanadamu anavyofanya kazi yote ni sayansi. Sasa unaposema vitabu vya dini vibaki kua vya dini huoni kama hata biblia unapingana nayo?
 
Vitabu vya dini vyote vimekua na chembechembe za sayansi. Maana hata uumbaji tu na jinsi mwanadamu anavyofanya kazi yote ni sayansi. Sasa unaposema vitabu vya dini vibaki kua vya dini huoni kama hata biblia unapingana nayo?
Sayansi haiamini uwepo wa Mungu, ila wanasayansi wanamuamini Mungu.

Usichanganye mambo hapa. We need both faith and science.
 
Natamani uendelee,binafsi nimefika huko Giza ,ahsante kwa darasa
 
Unaongea pumba tuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…