Vipi ulaya imeshaganda kwa baridi baada ya urusi kufunga koki za gesi?

Historia ya urusi ni ngumu sana kwani ndiyo nchi pekee ambayo kila inapopigana lazima ichangiwe hata tangu vita ya Lapoleon Bornapate mrusi alishinda pia vita ya pili ya dunia kwa wasiojua urusi ndiye alipindua meza (battle of Stalingrad) na kuiokoa dunia dhidi ya Hitler (ikiwamo poland inayorefusha mdomo dhidi ya urusi iliokolewa kutoka mikononi mwa utawala wa hitler)na hata vita hii iliyopo hebu fikiria ulaya magharibi yote pamoja na USA wanaisapoti UKRAINE kwa hali na mali lakini Urusi bado yumo.
Mrusi akipigwa kuna watu wanafurahia sana lakini mrusi akipiga mtu wanaonesha hosp. Shule kwamba urusi kaiacha kambi ya jeshi napiga bwawa la kindergarten.
 
Ona ingine hii huku inaongea kama inatafuna mahindi ya moto huku ikiandika kama ina ngiri. Russia gani iliyo save the world?
Jifunze kutofautisha kati ya Urusi na Soviet Union. Halafu Soviet hakuiokoa Poland bali aliivamia Poland hali iliyopelekea Poland kupigana two fronts, huku German huku Soviet Union.

Halafu elewa hiyo ww2, upande mmoja ulikua na Japan, Italy na German wakati upande mwingine ulikua na British, France, US, Soviet Union na nchi washirika na makoloni yao yote.

Kwa hiyo ushindi wa WW2 ni ushindi wa Majeshi washirika.
Soviet kui capture Berlin ni matokeo ya namna walivyokuwa wamepangiana maeneo ya kukamata.

Kumbuka, German alikua na best effective army wakati kati ya majeshi yote, Japan ndiye alikua na the best trained army hadi kwenye undividual level na US ndiye alikua aki deal naye kwa sehemu kubwa, ingawa walikuwepo pia China na Uingereza
 
Huyo inabidi alipie ada kwa ayo maelezo uliyompatia
 


 
Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda.

Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
Marekani wana ganda kama barafu
 
Sasa hivi umetulia kimya kwa aibu uliyopata kutoka kwa Supa pawa wa mchongo.
Hapana, nimejiwekea lengo la kusnza kufuatilia zaidi hii issue after 24 february,, yaani mwaka mmoja baada ya vita kuanza, kwa upande wa maendeleo kwa ufupi, Russia anaendelea vizuri tu,, πŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈ,
 
Lakini na nyie mlituambia kuwa uchumi wa Urusi utasambaratika ndani ya miezi sita baada ya vikwazo vya nchi za magharibi na kususia gesi yake lakini tunaelekea mwaka hakuna hata dlili.
Ushasambaratika mbona kitambo
 
Propaganda tuuuu
 
Sio vietnam tu,, juzi hapa marekani kakimbia toka afaghnistan,, na korea pia alikimbia, na waliomkimbiza ni hawa hawa warusi na wachina,,
Warusi wana endurance, wanahimili casualties kwa kiwango kikubwa and they keep grinding,
Leo hii ukraine akiwaotea sehemu moja, anatamba wiki, eti kashinda vita,,
Hii vita ni existential kwa Russia,, hawawezi kukubali kushindwa,
 
Mimi niko apa Ufinni mitaa fulani ivi..aise kila siku miili ya wazungu inaokotwa kwa kuganda na balidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…