Historia ya urusi ni ngumu sana kwani ndiyo nchi pekee ambayo kila inapopigana lazima ichangiwe hata tangu vita ya Lapoleon Bornapate mrusi alishinda pia vita ya pili ya dunia kwa wasiojua urusi ndiye alipindua meza (battle of Stalingrad) na kuiokoa dunia dhidi ya Hitler (ikiwamo poland inayorefusha mdomo dhidi ya urusi iliokolewa kutoka mikononi mwa utawala wa hitler)na hata vita hii iliyopo hebu fikiria ulaya magharibi yote pamoja na USA wanaisapoti UKRAINE kwa hali na mali lakini Urusi bado yumo.
Mrusi akipigwa kuna watu wanafurahia sana lakini mrusi akipiga mtu wanaonesha hosp. Shule kwamba urusi kaiacha kambi ya jeshi napiga bwawa la kindergarten.
Mrusi akipigwa kuna watu wanafurahia sana lakini mrusi akipiga mtu wanaonesha hosp. Shule kwamba urusi kaiacha kambi ya jeshi napiga bwawa la kindergarten.