Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo.
Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
Shuleni tulikuwa wadogo na zama zile au zetu ilikuwa bado dunia haijavamiwa kama dunia ya leo ,makeup visigino vya viatu mitindo ya nguo ,namna mdada anavyokuangalia hujui kama anakwita au anakuuliza.mtihani kweli.