Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shuleni tulikuwa wadogo na zama zile au zetu ilikuwa bado dunia haijavamiwa kama dunia ya leo ,makeup visigino vya viatu mitindo ya nguo ,namna mdada anavyokuangalia hujui kama anakwita au anakuuliza.mtihani kweli.Kwani shuleni ulikuwa unafanyaje mkuu?