Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Mnawapenda hao mkiwa na kipato kidogo, simu mkiwa na kipato kikubwa mnaenda kuwatafuta wanajua kuzitumia vizuri, nyie mnajema kuanzia lini?
Ushaanza sasa! Tunawapenda wote tu sema mnajistukia. Kuwa mkarimu tu hutapungukiwa kitu
 
Hahah kwahio hamna KE wa hivyo eeh?
 
Kwahiyo ule ukarimu unaoonyeshwa na huyo mdada umeuchukulia kuwa ni tabia ya kweli ya huyo msanii? Wake up man, hiyo ni advertisement babaah!
Naelewa mkuu! Nilitaka kufanya warm up to kwa KE walipo humu.
 
Mnawapenda hao mkiwa na kipato kidogo, simu mkiwa na kipato kikubwa mnaenda kuwatafuta wanajua kuzitumia vizuri, nyie mnajema kuanzia lini?
KunaniπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£?
 
Ndio tangazo lipi Hilo, hebu liweke tulichambue kwanza atiiu!
 
Mkuu wale wanapatikana mbele ya Camera tu. Ukitoa Camera hata yule anarudi kuwa Mwanamke huyu tuliyemzoea.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hatari sana
 
Kiukweli kusingekuwa na mwanaume mwembamba duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…