Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Sevuni hela za vocha hizo tuishi vizuri tukifulia jamani. Acheni majungu af mjifunze kupika misosi mikali hadi tushangae.
Tuna save sana, utasikia zile unazofichana lete basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndiyo maana hampendi tukajinunulie wenyewe vitu vizuri haaΓ  haaa
Vizuri mtaletewa tulieni jamani, nyie pikeni na kulea watoto!
 
Tuna save sana, utasikia zile unazofichana lete basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisikia hivyo ujue baharia kakwama hapo! Mwanamke anayejua maisha lazma kuna vihela anafichaga tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eeh mkuu, nilitaka nikutag kama ushalipata freshi!

Mie pia TV nimeanza kuangalia kipindi hiki cha corona niliweka Azam Tv! Kabla ya hapo nilikuwa naifutaga vumbi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Hahahahahahaaa Japo sijui hesabu najua nguvu ya buku 10 , Mamaa huu mzigo sio wa buku 10.....Yaani nikiliona ilo tangazo ni bahati ukija kubahatika kupata mke anayembeleleza kama yule hana hiyana "UWE NA SIKU NJEMA".
Halafu anavyosifanya lips wakati anaongea, huwa nahisi kumwaga
 
Kweli wanaume akili zenu mnajuaga mwenyewe. Yaani kale ka mfano ka Dogo ndo mnakaona ka maana? Yaan kuna wanawake wanafanya makubwa zaidi.au nyie huko mnaishi na wanawake wa aina gani?

Hata hivyo usifurahi ati umeacha Dagaa ukakuta kuku ukaendelea kubweteka unless Mke awe na kipato chake
 
Mjikute tu!!! mnapewa wa kufanana nanyi. Sisi ndio size zenu hivyo msitamani ambavyo hamstahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…