Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

Hata wangeenda hao wachezaji walioachwa, bado mngefungwa tu.
 
Cha kushangaza ni kuwa ukiacha tu kwamba kocha ni mtu flani misheni town ambae sijui tff walikutana nae wapi ila pia viongozi wa tff na serikali walioko Ivory Coast huenda ni wengi kuliko wachezaji. Hatuko serious
 
Vikao vingi badala ya mazoezi. Mpira wa bongo umekuwa na siasa nyingi sana. Ndio maana hakuna refa hata mmoja aliyechaguliwa kuchezesha game za AFCON
Hivi nchi zote africa zimepeleka makocha? KAsoro sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…