Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ukweli wo wote katika simulizi zako. Huo ni uongo unaoenezwa na huyo anayejifanya mganga ili apate wateja zaidi!Sayansi imekataa..
Lakini najiuliza ni kweli wazazi wamfananishe mtoto wao wa miaka 8..!![emoji848]
Kwani limit/mpaka wa ushirikina ni wapi..!!?[emoji848] ivi ushirikina hauwezi kumanipulate majibu ya kisayansi on it's favour..!?[emoji848]
Ni mara ngapi tunasikia mtu huyu amepimwa (sayansi) amekutwa na ugonjwa flan, akienda kwa mganga/kuombewa anaambiwa alitupiwa jini na anapona completely, akirudi kwenye sayansi ugonjwa hauonekani.
Scenario
Mwanzoni mwa April nilienda Tanga. Mtaa niliofikia wana story za mgonjwa anaeumwa kila kitu, i mean kila kitu. Yani amepimwa sukari ipo, UTI ipo, ukimwi upo, shinikizo la damu lipo, malaria yapo, typhoid ipo, STD's zipo, yaani kila kitu (at least alichopima). Na ana tezi dume linakaribia kuburuza chini na limeoza na kuozesha mapaja upande wa ndani (samahani kama umepata kinyaa au msisimko hasi)
Ni mtu wa 35-38 story zinasema alianza kunusa hela akapita na vibinti sana, alifika na kwa mke wa mtu, akaonywa bila kusikia. Sasahivi kila anaeenda kumtembelea anamuomba akamuombee msamaha kwa mwenye mke.
Swali linabaki, how far can "ushirikina" go
Watu wanapaa bila engine, wanapita ukutani vipi kuhusu hayo majibu kua compromised na ushirikina? In any ways
Gravitational force inakua takataka kwa mshirikina mwenye ungo. Vipi kuhusu DNA.
Asante kakaHakuna ukweli wo wote katika simulizi zako. Huo ni uongo unaoenezwa na huyo anayejifanya mganga ili apate wateja zaidi!
Hadithi kama hizi ni maarufu sana kwenye maeneo yaliyojaa wajinga wengi au maeneo yaliyojaa mashehe ubwabwa na wachungaji feki!
Sayansi imekataa..
Lakini najiuliza ni kweli wazazi wamfananishe mtoto wao wa miaka 8..!![emoji848]
Kwani limit/mpaka wa ushirikina ni wapi..!!?[emoji848] ivi ushirikina hauwezi kumanipulate majibu ya kisayansi on it's favour..!?[emoji848]
Ni mara ngapi tunasikia mtu huyu amepimwa (sayansi) amekutwa na ugonjwa flan, akienda kwa mganga/kuombewa anaambiwa alitupiwa jini na anapona completely, akirudi kwenye sayansi ugonjwa hauonekani.
Scenario
Mwanzoni mwa April nilienda Tanga. Mtaa niliofikia wana story za mgonjwa anaeumwa kila kitu, i mean kila kitu. Yani amepimwa sukari ipo, UTI ipo, ukimwi upo, shinikizo la damu lipo, malaria yapo, typhoid ipo, STD's zipo, yaani kila kitu (at least alichopima). Na ana tezi dume linakaribia kuburuza chini na limeoza na kuozesha mapaja upande wa ndani (samahani kama umepata kinyaa au msisimko hasi)
Ni mtu wa 35-38 story zinasema alianza kunusa hela akapita na vibinti sana, alifika na kwa mke wa mtu, akaonywa bila kusikia. Sasahivi kila anaeenda kumtembelea anamuomba akamuombee msamaha kwa mwenye mke.
Swali linabaki, how far can "ushirikina" go
Watu wanapaa bila engine, wanapita ukutani vipi kuhusu hayo majibu kua compromised na ushirikina? In any ways
Gravitational force inakua takataka kwa mshirikina mwenye ungo. Vipi kuhusu DNA.
Sayansi imekataa..
Lakini najiuliza ni kweli wazazi wamfananishe mtoto wao wa miaka 8..!![emoji848]
Kwani limit/mpaka wa ushirikina ni wapi..!!?[emoji848] ivi ushirikina hauwezi kumanipulate majibu ya kisayansi on it's favour..!?[emoji848]
Ni mara ngapi tunasikia mtu huyu amepimwa (sayansi) amekutwa na ugonjwa flan, akienda kwa mganga/kuombewa anaambiwa alitupiwa jini na anapona completely, akirudi kwenye sayansi ugonjwa hauonekani.
Scenario
Mwanzoni mwa April nilienda Tanga. Mtaa niliofikia wana story za mgonjwa anaeumwa kila kitu, i mean kila kitu. Yani amepimwa sukari ipo, UTI ipo, ukimwi upo, shinikizo la damu lipo, malaria yapo, typhoid ipo, STD's zipo, yaani kila kitu (at least alichopima). Na ana tezi dume linakaribia kuburuza chini na limeoza na kuozesha mapaja upande wa ndani (samahani kama umepata kinyaa au msisimko hasi). Huyu mgonjwa namimi nilimuona