Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

Hakuna ukweli wo wote katika simulizi zako. Huo ni uongo unaoenezwa na huyo anayejifanya mganga ili apate wateja zaidi!

Hadithi kama hizi ni maarufu sana kwenye maeneo yaliyojaa wajinga wengi au maeneo yaliyojaa mashehe ubwabwa na wachungaji feki!
 
Asante kaka
Mimi na uzushi wangu ni mmoja wa hao wajinga waliomshuhudia huyo mgonjwa.
Ila shukrani nyingi zikufikie ulipo. Hongera kwa akili nyingi.
 
Exodus 7:10-12 New King James Version​

10 So Moses and Aaron went in to Pharaoh, and they did so, just as the Lord commanded. And Aaron cast down his rod before Pharaoh and before his servants, and it became a serpent.

11 But Pharaoh also called the wise men and the [a]sorcerers; so the magicians of Egypt, they also did in like manner with their [b]enchantments. 12 For every man threw down his rod, and they became serpents. But Aaron’s rod swallowed up their rods.
 
Sayansi haidanganyi ukiona ugonjwa haujaonekana nenda hospital kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…