Vipindi gani vya Redio/TV havina mvuto na unashangaa kwa nini bado vipo hewani?

Vipindi gani vya Redio/TV havina mvuto na unashangaa kwa nini bado vipo hewani?

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
724
Reaction score
1,527
Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
 
Vipindi vya michezo na taarifa ya habari, zote hizo zinatumia 80% ya muda wa kipindi kujadili upumbavu tuu
 
Back
Top Bottom