shonkoso JF-Expert Member Joined Mar 13, 2015 Posts 724 Reaction score 1,527 Aug 17, 2025 #1 Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Aug 17, 2025 #2 Vipindi vya michezo na taarifa ya habari, zote hizo zinatumia 80% ya muda wa kipindi kujadili upumbavu tuu
Vipindi vya michezo na taarifa ya habari, zote hizo zinatumia 80% ya muda wa kipindi kujadili upumbavu tuu
S Suleiman hussein noroh Member Joined Sep 18, 2024 Posts 81 Reaction score 131 Aug 18, 2025 #3 kutuma salamu kwenye redio imepitwa na wakati kwa zama izi
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,552 Reaction score 13,002 Aug 19, 2025 #4 Jahazi
Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,019 Aug 19, 2025 #5 Sports Arena
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Aug 19, 2025 #6 Hivi kuna watu bado wanasikiliza radio ? 📻