Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

ww ni mjinga na mpumbavu na huna akili. hivi nyie mnashindwa kujua umuhimu wa dini kweli? unasema wanapoteza muda una akili wewe? Hizi dini ndio zilotufunza usafi, kuwaheshimu Wazeee, kusaidia masikini,.kuwapenda ndugu na.jirani zetu, kuacha anasa kama pombe na zinaa, kuepuka wizi, kuepuka Riba, yote haya ww unasema dini haina maana, sikulaumu ww ila jichunguze vizuri kama hukuzaliwa gesti basi niite Zumaridi
 
umemjibu vizuri sana, haya majinga yanaongezeka kila kukicha
 
Basi Tanzania itakuwa mojawapo maana ulivyotaja hapo vimeshamiri sio tu Tanzania lakini nchi zote.
 
Watu wana mambo ya ajabu kweli! Kwani ndg mpagani umewaza Nini haswa hadi ukaamja kuleta tweet hii?
 
Kwa upande mmoja nakuunga mkono! Kwa kizazi hiki Masomo ya dini hayana faida kwao.
 
Endelea kujidanganya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…