Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

[emoji16][emoji16][emoji16] Ila we jamaa[emoji119]

#SIO WATANZANIA WOTE WANA DINI[emoji848]
anadai wawe bize kuchora sijui kuchonga ili apige mishe zake kiulaini. Mpumbavu sana Hawa ndio wanatusababishia tusione vizuri ubaoni wakishajua upo vizuri darasani.
 
Darasa moja mnakaa watoto 70 na bado mnataka wote muone vizuri ubaoni.
Mnasingizia wachawi bure tu.

yaani mtu yupo mbele kabsa karibu na ticha. Una watoto kweli au wanasoma international School
 
Hapana mkuu....Quran ilishushwa
Nikuambie kitu mkuu dini na sayansi hasijatofautiana Sana zimetofautiana sehemu ndogo Sana Ila inazifanya zionekane tofauti kiualisia dini na sayansi ni kazi ya mwanadamu mwenyewe baada ya uwepo wake hapa duniani baada ya kuanza kazi ya uchunguzi mbalimbali hapa duniani na kugundua Vitu vya kustaajabisha apa duniani ndio akaja na wazo la kusema kutakuwa Kuna kitu kilichofanya hivi vitu vya kustaajabisha viwepo hapa duniani ndipo akakipa jina MUNGU sayansi yenye ikasema hivi vitu visivyo na majawabu ya haraka hapa duniani uwepo wake unasababishwa na NATURE .DINI MNAMUUITA MUNGU ILA SAYANSI INAMUUITA NATURED NATURE .kwa sababu sayansi Ina amini “energy can not be created or destroyed but can transformed from one source to another”. Na hio energy ndio natured nature yenyewe Kwa hio utofauti wenu ni pale sayansi inapokubali kukosolewa kuhusu yule anaelezea nadhari yake isiyosahihi kuhusu nature mfano theory ya Big bang inakosolewa na Baadhi ya wanasayansi kwa sababu Kuna mahali haina usahihi , hivyo hivyo kwa theory ya evolution .je ni lini dini ilikubali kukosolewa kuhusu theory ya creation kwa binadamu alitokana na udongo wakati hakuna uasilia wowote hapo, Nani alikosoa kuhusu yesu kutembea juu ya maji, nani alikosoa kuhusu Mohammed kupasua mwezi katika Kati na

MWISHO NANI ALIKOSOA KUHUSU BIBLIA NA QURAN KUWA NI MANENO YA MUNGU. HUKU KUKIWA HAKUNA USHAHIDI WOWOTE WA MUNGU MWENYEWE KUSEMA KUWA NI MANENO YAKE .

WOTE SAYANSI NA DINI MNAMCHUNGUZA MUNGU KATIKA NJIA TOFAUTI MWISHO WA SIKU HAKUNA MAJIBU SAHIHI MTAKAYO PATA .MUNGU HACHUNGUZIKI
 
hwa na NATURE .DINI MNAMUUITA MUNGU ILA SAYANSI INAMUUITA NATURED NATURE .kwa sababu sayansi Ina amini “energy can not be created or destroyed but can transformed from one source to another”. Na hio energy ndio natured nature yenyewe
Hatuko tofauti nawe ila hapa naomba kujua kama ni kitu kimoja unajua nini Mungu ni hiyo energy iliyo na personality fulani [mind you sio person wala human ila ni personality] yenye malengo na sababu mbalimbali. Wanasayansi na wanadini wanachotofautiana ni kwenye hilo suala la je hiyo energy iko na akili au ni fujofujo tu inafanya?

Wewe unasemaje?
 
Unadhani hilohalipo hivyo mbona kujirekebisha kupo kwingi tu kwenye misahafu na biblia? Kitu ambacho hakitabadilika ni kuwa tu Mungu ni mmoja ila haya mengine ya kimaisha na kijamii yanabadilika vizuri tu ntatoa mfano;

Tulianza tupo free tunakunywa pombe na tunalewa na sio dhambi.
Tukakatazwa kunywa pombe kwa wanaoswalisha kwanza
Ilipoonekana wanaosali wanakuja wamelewa ndiyo ikakatazwa wote kulewa wakiendakuswali
Baadae ilipoonekana vipi ikakatazwa sasa jumlajumla! Je? hayo sio mabadiliko kulingana na hali? Ukweli upo uliosimama na upo huu tunaoushi. Huu tunaoushi tunaubadilisha kulingana na jambo litakaloleta afya kwa mtu na jamii kwa ujumla. Ndio maana manabii wakija huwa wanakuja kutuweka sawa tulipokuwa tunakosea.

Mungu amekamilika lakini wanadamu tunayo mapungufu ndiyo maana check and balance lazima ziendelee
Uko sahihi...Mfano mwingine

Tulianza Kwa kusema Dini hailazimishwi Na tuliwakumbatia wakristo Na wayahudi Kuwa wako Sawa Na injili Na torati Ni vitabu vya Allah ta waislam tulisali kuelekea kibla ya Jerusalem

Quran 2:256 "Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu"

ila baadae wayahudi wakamwaga mboga ikabidi tumwage ugali

Kibla ikabadilishwa kuelekea Mecca Na wayahudi wakaitwa hawafai Na Quran ikasema injili Na torati zilichakachuliwa Na Dini ikawa Ni lazima ukiacha uislam unauwawa

Bukhari, volume 9, #58

Narrated Abu Burda, "Abu Musa said.....Behold there was a fettered man beside Abu Musa. Muadh asked, "Who is this (man)?" Abu Musa said, "He was a Jew and became a Muslim and then reverted back to Judaism." Then Abu Musa requested Muadh to sit down but Muadh said, "I will not sit down till he has been killed. This is the judgment of Allah and his messenger," and repeated it thrice. Then Abu Musa ordered that the man be killed, and he was killed

Quran 98:6 Surely those who disbelieve among the People of the Scripture and the polytheists will enter the Fire of Hell to abide therein forever. These are the worst of creatures

Yani worst of all creatures maana yake Bora nguruwe Kuliko Hao Jews & Christians
 
Nikuambie kitu mkuu dini na sayansi hasijatofautiana Sana zimetofautiana sehemu ndogo Sana Ila inazifanya zionekane tofauti kiualisia dini na sayansi ni kazi ya mwanadamu mwenyewe baada ya uwepo wake hapa duniani baada ya kuanza kazi ya uchunguzi mbalimbali hapa duniani na kugundua Vitu vya kustaajabisha apa duniani ndio akaja na wazo la kusema kutakuwa Kuna kitu kilichofanya hivi vitu vya kustaajabisha viwepo hapa duniani ndipo akakipa jina MUNGU sayansi yenye ikasema hivi vitu visivyo na majawabu ya haraka hapa duniani uwepo wake unasababishwa na NATURE .DINI MNAMUUITA MUNGU ILA SAYANSI INAMUUITA NATURED NATURE .kwa sababu sayansi Ina amini “energy can not be created or destroyed but can transformed from one source to another”. Na hio energy ndio natured nature yenyewe Kwa hio utofauti wenu ni pale sayansi inapokubali kukosolewa kuhusu yule anaelezea nadhari yake isiyosahihi kuhusu nature mfano theory ya Big bang inakosolewa na Baadhi ya wanasayansi kwa sababu Kuna mahali haina usahihi , hivyo hivyo kwa theory ya evolution .je ni lini dini ilikubali kukosolewa kuhusu theory ya creation kwa binadamu alitokana na udongo wakati hakuna uasilia wowote hapo, Nani alikosoa kuhusu yesu kutembea juu ya maji, nani alikosoa kuhusu Mohammed kupasua mwezi katika Kati na

MWISHO NANI ALIKOSOA KUHUSU BIBLIA NA QURAN KUWA NI MANENO YA MUNGU. HUKU KUKIWA HAKUNA USHAHIDI WOWOTE WA MUNGU MWENYEWE KUSEMA KUWA NI MANENO YAKE .

WOTE SAYANSI NA DINI MNAMCHUNGUZA MUNGU KATIKA NJIA TOFAUTI MWISHO WA SIKU HAKUNA MAJIBU SAHIHI MTAKAYO PATA .MUNGU HACHUNGUZIKI
Kwanza sayansi haiamini Kuwa energy cannot be created or destroyed hiyo Ni sayansi ya Zamani Enzi Za kina Galileo.
Pili Niambie mapungufu ya Evolution theory.
Tatum Hakuna wa kukosoa Neno la Mungu (Quran) kwakuwa Mungu Hana mapungufu.
Hata Akisema Jua linazama kwenye matope (Quran 18:86) yuko sahihi
 
Hata kama tukiamua kukubali kuwa ndio hivyo bado kuna nafasi sasa ya kutumia akili zetu kuielewa ndiyo maana kuna ma Imamu. Najua ukweli huwa haujipingi so huna haja ya kuogopa uchambuzi.

Lakini pia ipo haja ya kuupata muktadha wa zama za kabla ya qurani [taurat/injil] wakati wa quran na baada ya quran ndio maana kuna vitu kama hadithi broh. So tukisema kurekebisha tuna maana kurekebisha hata uelewa kwa yale ambayo yapo sio kufuta kilichopo. Ni kama kutimiliza fulani hivi.
Sasa hapo Ni kutimiliza sio kurekebisha....kurekebisha Ni kubadilisha
 
Uko sahihi...Mfano mwingine

Tulianza Kwa kusema Dini hailazimishwi Na tuliwakumbatia wakristo Na wayahudi Kuwa wako Sawa Na injili Na torati Ni vitabu vya Allah ta waislam tulisali kuelekea kibla ya Jerusalem

Quran 2:256 "Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu"

ila baadae wayahudi wakamwaga mboga ikabidi tumwage ugali

Kibla ikabadilishwa kuelekea Mecca Na wayahudi wakaitwa hawafai Na Quran ikasema injili Na torati zilichakachuliwa Na Dini ikawa Ni lazima ukiacha uislam unauwawa

Bukhari, volume 9, #58

Narrated Abu Burda, "Abu Musa said.....Behold there was a fettered man beside Abu Musa. Muadh asked, "Who is this (man)?" Abu Musa said, "He was a Jew and became a Muslim and then reverted back to Judaism." Then Abu Musa requested Muadh to sit down but Muadh said, "I will not sit down till he has been killed. This is the judgment of Allah and his messenger," and repeated it thrice. Then Abu Musa ordered that the man be killed, and he was killed

Quran 98:6 Surely those who disbelieve among the People of the Scripture and the polytheists will enter the Fire of Hell to abide therein forever. These are the worst of creatures

Yani worst of all creatures maana yake Bora nguruwe Kuliko Hao Jews & Christians
Ndo maana nasemaga Dini halisi haina mkanganyiko, umeona jinsi ambavyo quotes za Quran tukufu zilivyo zenye haki ukilinganisha na hizo za hadithi?

Na hapo ndipo tunapoweza kukaa na kujadili kwamba je huyu aliyeandika hadithi tuendelee kumfuata [tafakuri yake ilojaa hasira]au tutafakari zaidi haki itafaa ipi. Malipo ya mwenye kukaidi au mwenye kukubali hayapaswi kuwa kwa mikono yetu. Tumuachie yeye na mola wake huko baada ya kufa kwake sio sisi tumuue. Hii ndio inaleta sense.

Hata tukirudi kwenye biblia yule aliyeandika wauweni wanaume watoto na kila kitu unaweza kuta alikuwa ni askari na morali ya kivita imemjaa so baadaye tunakuja kumake sense na kusema -upendo utawale unaona
 
Uhakika bro
 
Hata picha basi..picha zilichorwa
Picha Ni Haram kwenye uislam
Abdullaah ibn Mas'ood (may Allaah be pleased with him) reported that the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: "Those who will be most severely punished by Allaah on the Day of Resurrection will be the image-makers." (Reported by al-Bukhaari, see al-Fath, 10/382).
 
Back
Top Bottom