Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,356
- 2,342
Ikiwa mtu ni muumini wa dini fulani inamaana ataisoma na kuijua vizuri.Nadhani tatizo sio la WATANZANIA tu Bali ni Afrika,Waarabu na jamii chache za Asia ya mbali . Wanaamini pasipo kuhoji na kujiridhisha na imani zao kidogo wazungu wako huru kukosoa hata dini ila Afrika , Waarabu, Baadhi ya jamii za Asia ya mbali ili Jambo kwao wanaamini ni dhambi kubwa sana kuichunguza dini[emoji16]
Hivyo unamaana gani unaposema kuichunguza dini?
Na ikiwa mtu anaweza kuikosoa dini anayoiamini si ndio maana yake inakasoro? hivyo hana haja ya kuendelea kuiamini.
Kuhoji napo ikiwa unahoji kutaka kujua sawa, ila kama unahoji kwa kuona sheria fulani ya dini yake haipo sahihi si tunarudi palepale kwenye kukosoa?